Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Wewe ndio class monitor wa mmu?

Anyways Sifahamiki na mapoyoyo you are very right
[emoji23][emoji23][emoji23]Unachekesha sana mkuu. Itoshe tu kukupa neno pole. Rudi kwenye jukwaa lako pendwa. Huku hatukujui

Au ndugu zanguni nasema uongo?

Sasa kama hutaki story za kimasihara, unataka tuhubiri uparoko au?
 
Aisee hawa wanawake sio poa kabisa yaani demu wa jamaa ambae yuko vizuri finarcially nimeweza kumchapia mke wake japo mwana mie ni rafiki yangu damu damu aisee kutokana na ujinga wa mke wake mie nimemchapa kutokana na kujirahisisha kwake

Yaani iko hivi mke wangu na mke wa huyu jamaa ni marafiki toomuch sasa mke wangu akikaa na mke wa huyu jamaa anaanza kunissifia mie jinsi ninavyompiga mashine bab kubwa sasa mke wa huyu jamaa akataka ajaribu kama kweli aisee nilimtandika kinoma noma mpaka akatamani mimi nimuoe aiseee ila mimi nimekataa

Sasa hapa nipo nyumbani nipo na mke wangu nimechili amenitumia meseji kwamba amenimisi niende nikampige mjegeje na mume wake amesafiri yupo mikoa ya kusini kwenye ziara ya huyo mkubwa wa nchi.

Je wadau niende? Na mke wangu nimmwambiaje?
 
Aisee hawa wanawake sio poa kabisa yaani demu wa jamaa ambae yuko vizuri finarcially nimeweza kumchapia mke wake japo mwana mie ni rafiki yangu damu damu aisee kutokana na ujinga...
Mwanaume anayezini na mke wa mtu hana akili kabisa.

Wewe ni adui namba mmoja wa rafiki yako, and God will expose you soon kama ulimfanyia kweli rafiki yako au umeandika chai.

Unamsalitije rafiki yako?
 
Aisee hawa wanawake sio poa kabisa yaani demu wa jamaa ambae yuko vizuri finarcially nimeweza kumchapia mke wake japo mwana mie ni rafiki yangu damu damu aisee kutokana na ujinga wa mke wake mie nimemchapa kutokana na kujirahisisha kwake

Yaani iko hivi mke wangu na mke wa huyu jamaa ni marafiki toomuch sasa mke wangu akikaa na mke wa huyu jamaa anaanza kunissifia mie jinsi ninavyompiga mashine bab kubwa sasa mke wa huyu jamaa akataka ajaribu kama kweli aisee nilimtandika kinoma noma mpaka akatamani mimi nimuoe aiseee ila mimi nimekataa

Sasa hapa nipo nyumbani nipo na mke wangu nimechili amenitumia meseji kwamba amenimisi niende nikampige mjegeje na mume wake amesafiri yupo mikoa ya kusini kwenye ziara ya huyo mkubwa wa nchi.

Je wadau niende? Na mke wangu nimmwambiaje?
Kwa visasi hatujambo namba utaisoma hata iwe miaka 6 mbeleni ngoja usahau kwanza
 
Back
Top Bottom