Lloyd Munroe
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 14,294
- 35,609
2nd hand haistui mtu.
Hi ni miendelezo tu mkuu ile blander mbona mambo Shwari tuUnafanya kila namna ili kupotezea ile blunder ulioifanya hapa jf
Ahaa sawasawaSio huyo ....huyo ni mjinga flani yupo humu alinizingua
Siku ingine fanya kama JAY MO & NGWEIR_KIMYA KIMYA,Mkuu umeongea kwa hisia kali hadi nimesinyaa hapa nafikiri namtorokaje huyu japo kuwa sio mke wa mtu ni demu tu
Naahidi hii ya mwisho sileti tena nyingineSiku ingine fanya kama JAY MO & NGWEIR_KIMYA KIMYA,
Wewe ni mtu muungwana sana May Almighty God be with you
Bro umuue mwanaume mwenzio kisa uchi...?Mkiuwawa mnasema mabro wakatili.
Nimekuelewa Sana ,mpaka Leo hii Mimi natumia ,barua au kakaratasi kuwasikiana Kwa maenziMkuu,
Nakuonya
Usipende ku expose your move..hii Dunia ya technology imerahisisha sana mawasiliano....
Details zako zikitakiwa zinapatikana trust me.
Maana PESA hununua chochote mpaka moyo hata kura kwenye uchaguzi...
NB:
Kama mtu akiamua kukutafuta anakupata easy [emoji4][emoji3526] then UNAUWAWA
ACHANA NA WAKE ZA WATU HATA WAKIKUPENDA WAO na kama ukishindwa fuata ushaur wa JAY MO & NGWEIR_KIMYA KIMYA japo sio vizuri
Nikutakie mapumziko mema ya mwisho wa week.
Kwani unakula wake za watu mkuuNimekuelewa Sana ,mpaka Leo hii Mimi natumia ,barua au kakaratasi kuwasikiana Kwa maenzi
Pisi yako, si umesema ipo kama ant ezekiel (Gwantwa).Pisi gani mbovu mkuu
Sijamuona livePisi yako, si umesema ipo kama ant ezekiel (Gwantwa).
ukikua utaacha
Ngoja nifaidi ujanaukikua utaacha
kwa dala dala za arusha ni ngumu sana kua dunga dunga,
Ukiwa dar ndo kazi yako hiyo lakini 😄😄kwa dala dala za arusha ni ngumu sana kua dunga dunga,
mimi sijawahi aisee
Daladala fupi sana zile ukiweza kusimamama ni kipimo tosha wewe ni mfupi sanakwa dala dala za arusha ni ngumu sana kua dunga dunga,
mimi sijawahi aisee