Una bahati sana, nishaoa kitambo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waoh, umerudi lini???
Nilikumiss sana!
Ulitaka uje upendeze zaidi ya mke wangu hatimaye sherehe ivurugike eee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Khaaaa umeoa una roho mbaya hata kadi loooh
Shusha neno mama mtumishi ukemee mapepo.Aiseee
Huu mji ni mzito sana!
KaribuuuNgoja nile kwanza nitarudi
Ulitaka uje upendeze zaidi ya mke wangu hatimaye sherehe ivurugike eee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mtu anaelekea kuliwa kimasihara...
Nitarudi..
Na ishafanyika kitambo tu, hadi ukoko wa kuku roast ushaumissUjue nitalia mm wa kunifanyia hivi kweli jaman
Una maana gani?Bahati mbaya jamani
Na ishafanyika kitambo tu, hadi ukoko wa kuku roast ushaumiss
Aisee, ahsante shoga yangu za siku
Nipo nalainisha vyuma sehemu nyingine mbali na home kidogoNakuja kesho huko nitakuwa mitaa ya Kibaha
Aisee, ahsante shoga yangu za siku
Nipo nalainisha vyuma sehemu nyingine mbali na home kidogo
Naogopa kuvuruga ndoano yangu ingali changa...Unanikimbia eeeeh
Nini mama afu hujanbia kwanini hukusoma secondaryAiseee
Huu mji ni mzito sana!
Kweli mbona me wazazi wameanza kuwa na simu 2002, upo sahihi kabisasasa ulitaka muda huo wa chat kwa nini….sio sms tu hata MMS ..we unaonekana hata hujui simu zilisambaa lini…..watu 1994 simu zipo nyingi tu watu wanazo ..acha chenga we kula story ..
Naogopa kuvuruga ndoano yangu ingali changa...