Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,133
- 93,300
Sasa iyo no umeacha hapo ni mtego au nini? Kama si mtego bas wahi ule ilo tunda kabla hawajakuharibia mission yako
Imeishaaa.
Kuna Jamaa aliwah gombana na Demu wake, akaja JF kuweka meseji anaomba mawazo, akawa kaficha namba, ila Kwa macho ya kichina kama yangu ukizoom ,zikawa zinaonekana.
Toka huo mwaka 2018 mpaka Leo, Demu wake najitafunia Kila napopata nafasi ya kuja maeneo yaleeee !!.
Si wivu jamani huna kifua wewe ni mwanUme Ume sio Uke sasa unatangazaje unaenda kula kitumbua kwako sahihi ila kwa wanaojitambua ni zero aisee sio vyemaKwani unamjua....? Acheni wivu
Nitaelewa mkuusaiz huwezi kuelewa kichwa cha chini kishapata moto naona[emoji2][emoji2][emoji2]
Acheni wivu banaMaskini Lydia!
Sijui nifungue Uzi wa live update [emoji1787]mpaka shughul itakapokwisha
Eh uongo ukiwa over 17 wewe ni matured hadi jina anatoa lidya popota ulipo kesho unaliwahajakua badoπ
Nenda ufute kwanza screenshot ya pili maana namba inaonekana hapo juu rafiki yangu ππNitaelewa mkuu
[emoji28][emoji28][emoji28]Jiheshimu basi....hujapewa tunda ushaleta uzi
Ukipewa je
Mkuuu hainaga Makombo !! Lazima atafunweUmehifadhi ya nini mkuuπππ€£π€£ππππ
Bora unipe Mimi BabyJiheshimu basi....hujapewa tunda ushaleta uzi
Ukipewa je
Haya makabila sio mchezo unaweza nata hapa hapa wanafundwa na wanajua sana hawafai tokea wadogo wanazindikwa wanaafundwa wanawekwa tayari kwa mume sasa onja hapo asali unaoa chapuDem mwenywe wakawaida tuu ila sio mbaya kapige maana ni free cake
Kamakukua sio umri tu, huyu bado kuna vitu haelewi
Ningeshangaa we jamaa ukosekane hapa π³π³π³Bora unipe Mimi Baby
Ipo , screenshot ya mwishooo !!.Umenistuaa [emoji23][emoji23] haipo bana
Umeshamchek wasap??Dem mwenywe wakawaida tuu ila sio mbaya kapige maana ni free cake
Wewe dokta hapana kwakweli πππππMkuuu hainaga Makombo !! Lazima atafunwe