Mungu Mwema wakuu baada ya Kunywa PEP mwezi mzima nimepima hii mara ya Sita sasa ndani ya mwezi nipo NEGATIVE.

Nawashauri Washkaji zangu tule kimasihara Ila Ndomu NI muhimu Sana au Mafuta Kwa wingi aisee Katika Begi lako hivyo vitu usikose.. Mimi kama sio Mafuta Leo ningekuwa kwenye gridi Moja ya Mawasiliano ya Mkono

Nawashukuru Sana Wadau walionipa moyo bado natakiwa kujilinda Hadi miezi mitatu tena nipime.

NIPO HURU
 
Mafuta gani unatumia mkuu..?
 
Mafuta yanafanyeje hapo?
 
Mara 6 zote unapima unatafuta nini mkuu.
 
V
je kaseja/Kufuli (Bikra) alikuwa nazo zote mbili au moja tu???..Maana waarabu kwa kutoa 0713 ili kulinda bikra wapo njema balaaa.
 
Pima baada ya miezi miwili tena
 
michezo ,michafu ukimaanisha 0713 au??... Maana Tanga nao wadau sana wa Mpalange
 
Kaka nikiwa raisi wewe lazima uwe waziri kwenye serikali yangu.. na ikibidi tunabadilishana psot, wewe nakuachia uraisi mimi nakuwa waziri... Upo smart sana kichwani
 
MALIZIA MAELEZO COMRADE..... Nini Hiyo nanii πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜€πŸ˜€
 
Kama kawaida Bwana Graham mzee wa 0713.....🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…