Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Ò
No 8,

2019, Dar es salaam Tanzania.

Niko barabara ya Maliki nkitokea ofisini, nakutana na mtoto mmoja mweupe na mkali. Niko na jamaa mmoja wa ofisini, kutoka ofisini hadi nnapokaa barabara ya Kalenga ni walking distance. Yule binti alikua akiongea kwenye simu.

Tulivompita, nkachombeza "mwambie akate simu tukusalimie". Binti hakuitika, akawa yuko busy na ile simu yake, tunafika home tunaona anapitiliza anaingia blocks za jirani.

Siku chache baadaye, nkamuona tena. Nkamsalimia, nkampa namba zangu bila kuongea chochote. Zikapita kama siku 3 hivi, akanicheck na kujitambulisha. Nilipomjua, nkaitika kisha nkaacha kuchat nae, na sikua nikipokea simu wala kujibu msg tena.

Ijumaa moja natoka masjid, kanzu inanukia uturi, na kiremba cheupe kimeka kichwani. Ile nivuke UN road binti huyu hap kwenye sare za kazi.

Lile vazi lilimkaa vema, niliweza ona kila kiungo kwa mapana yake. Nkatabasamu, moyoni nkiwaza toba nlotok ifanya. Binti alikua kanuna haswaa, anauliza kwanini sipokei simu au mke anikataza. Nkamwambia la, ninaumwa na simu situmii sana. Nkamuomba tukakae home kiasi nimsimulie maana si mbali.

Kama kuumwa basi ilikua ni ile hamu ya kumla, nkachukua kuku sekela kwenye grill house kabla sijaingia nae ndani. Kufika nkamkaribisha ukumbini, nkaandaa kuku tukala, hakuna aliekua akiongea huo muda wote. Tulivomaliza, nkamkaribisha chumbani ajimwagie maji. Alitaka kusita, nkamwambia nna khanga ya akiba na taulo jipya. Akakubali kishingo upande.

Anatoka bafuni anakuta nmekaa kitandani namsubiri, nkampa tshirt na kumwita nimkaushe maji. Nkawa namfuta maji, huku nkisimulia ugonjwa hata ambao sina, akaingia huruma akawa aniangalia nami namuangalia kwa huba. Nkamuinua nkamkiss kwenye paji la uso kumwambia ahsante kwa kunifariji.

Pale tulipokaa akataka ainuke sasa ili akae vizuri, ile khanga nkaizuia kimtindo ikamtoka. Na chupi alikua kaiacha bafuni, anajaribu kujificha nkawa namwambia mgonjwa nshakuona. Nkamkumbatia na kumshika kwa utaratibu, pumzi zikaanza kumzidi. Nkamkalisha kwenye kisofa.

Nkamshika miguu, nkaipandisha usawa wa mabegani kwangu nipate wasaa wa kupiga deki... Siku ild usafi nliufanya aisee. Binti akavunja dafu safi kabisa. Hakua fundi kwenye mchezo ila ni mtamu haswaaa.

Nlihakikisha namla hadi asahau kama ana kwao, ilipofika jioni nkafanya order ya chakula cha usiku ndani hatukutoka. Kazini alikua aniangia Jumamosi jioni, hivyo mchana wake nkampeleka kwake akabadili nguo na kurudi kuingia kazini. Kuanzia hapo akawa kama mke wangu sasa, akahamishia vitu vyake pale. Tulikuja kukosana nlipokuja gundua kwao ashawekewa mchumba na karibu wanaoana na hakuwahi niambia, japo hakua akimpenda yule mtu.

NB: kuna wakati zina fail, nkimaliza few attempts zilizofanikiwa ntaleta na mbili tatu zilizoshindwni nesi wa Tumaini ya kule mtaa wa Magore
 
Kumbe wewe umenipata. Mkuu kitu kina thamani Kama haunacho ukishakuwa Cha kawaida Sana. Emotional ni mbaya Sana. Kama sexual emotions ni Kali Sana.jiulize why wadada wazuri wanatumika kwa matangazo ya biashara.basi ngoja niishie hapo.
Huwa hauoni dada anavyokuwa mkali ama like kimuhe muhe kabla hujamkula. Naye huwa ni ivyo ivyo so baadaye inakuwa sio ishu kupotezana hakuna unalojutia
Hata ukioa mtu wa nyumban asiwe na tabia ya kwenda kwao saana lzma watamla tuu

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mi sishangai maana ktk hii dunia kila kitu kinaweza tokea haswaa kwenye mapenzi!!!!na wapemba wana lugha flaani hivi taamu balaa na wanaume wao wanajua sana mapenzi(sijawahi kudate nao maana mi watu weupe sina mzuka nao sana but nishawahi ishi nao,naskiaga watu wanasema )na ni wahuuni balaa...
Hata kama, story za jamaa ni za kusadikika tu!
 
Ni stori ndef ila ntajaribu kuifupisha kadri ya uwezo wangu.

Mchepuko nnae mzungumzia. Ni binti flan ivi mrembo hapa mtaani, anaishi nyumba Kama ya 3 kutoka nnapoishi na familia yangu. Pia mwajiriwa ktk mojawapo ya makampuni Aya ya Marehemu mzee Mengi.

Mahusiano yetu yalijengwa na utaratibu wa lift kipind anaenda kazin hasa ule msimu wa mvua mwaa jana maana ofsini kwang na kwake sio mbali Sana.

Kiufupi mahusiano yetu hayakua na kutongozana KABISA. Kuna ibilisi flani ivi alikatiza mbele yetu tukajikuta tushafanya mapenz kwny gari na ndo ukawa mwanzo wa mahusiano.

Kiukweli, bint alionekana kuyafurahia mahusiano na kunipenda zaidi na Mchezo ukawa Ni ule ule. Nkitoka kazin nampitia tunaenda mahali tunapaki tinted juu kisha tunastua kimoja viwili ndo tunaelekea nyumban.

Sasa kwa Hali ilivoendelea nkaona hii sio salama Tena, maana mtaa ule ule inaweza tokea leakage of information nkaonekana wa hovyo pale mtaani na familia yangu kiujumla. Maamuz nlochukua ilkua Ni kumpangishia mbali na pale nyumbani ili niwe huru kumtafuna ipasavyo.

Nikamshauri ilo swala akakubali na nikamlipia chumba na sebule mbali KABISA na nyumban ( umbali km 35 kutoka pale nyumban) Kodi ya mwaka mzima inayotarajia kuisha tar 3 March mwka huu.

Sasa ile kigiza Cha saa moja usiku wa mwaka mpya (January 1,2021), Kama kawaida nkaaga wife naenda kuangalia mpira, akakubali. Ila lengo halisi lilikua ni kwenda kumchakata Yule binti uko kwake.

Na utaratibu wangu ilkua sitaki KABISA kupaki gari nyumba ile maana inawapangaji wengine. NKIHOFIA WANAWEZA UNGUZA PICHA. Ila napaki gari kwnyw baa moja mtaa ule, Kisha natembea kwa mguu umbali wa mita 500 hivi ndo Nafika kwa binti. Sasa Kama kawaida iyo siku mida ya saa 5 usiku nishapiga show tayar, nmetoka nmetembea nmefika kwny gari.

Nkasema ngoja nipige sim nimuage KABISA ili nikishatoka hapo Ni direct moja kwa moja kwa mama watoto home nkapumzike. Ile nmejiegesha kwny bonet ndo nmemaliza kuaga namuandikia sms nzito iliyojaa mahaba tele ili niondoke. Nkaskia mtu ananikwapua simu mkononi, kugeuka nkakuta wife uyu apa.

Dah! Nliishiwa Nguvu aisee, Ile ata sijajieleza chochote nkaona anaita boda boda anapanda na kuondoka. Ikabidi na mm niifatilie ile boda, nkaona inanyoosha njia ya home. Ile nakaribia home, nkapishana na ile boda inatokea home. Akili ikanituma moja kwa moja wife kaenda home.

Sasa hapa inabid nijipange jins ya kupangua hizi shutuma nzito zitakazonikabili ntakapofika nyumbani. Breki ya Kwanza nkampigia mchepuko wagu nkamweleza kilichotokea, akanishauri nikubali TU maana HAMNA Cha kuficha Tena. Akili yangu ikagoma KABISA kuupokea ushaur ule, itakua namrahisishia jaji hukum kwa kukiri KOSA. Akili ikachekecha Tena, Jibu lililokuja kichwani Ni kutumia ubabe TU.

Nkifika tu nyumban Baba nmekunja sura, sitaki niulizwe chochote Wala kujibu chochote. afu nilimalize kimya kimya. Namjua wife wangu, atanuna wee baadae atasahau na maisha yatasonga. Namshkuru nilipofia home nlimkuta kanuna Kama nlivotabiri, na Mimi nkafanya vile vile kama serikali ya kichwa changu ilivyonishauri. Tulienda vile Kama wiki hivi hatusemeshani na simu yangu bado kaishikilia.

Ikabidi nimuombe anipatoe sim yangu maana Mambo yangu mengine yanakwama. Akanirudishia iko salama salmini, ila changamoto Ni kwamba ile NAMBA ya Yule binti imefutwa. Sms na chats zote zinazomhusu TU Yule binti zote zimefutwa. Akili ikanicheza, NAMBA ake ilku kichwan nkampigia nkamuuliza vipi hajakutafuta, akasema hapana.

Aisee nkashusha pumzi na Nkamshkuru sn Mungu kwa ilo maana Ingekua balaa. Kesho yake nko kazin npigiwa simu wife anaumwa kakimbizwa hospital. Kufika nkakuta keshatundikwa drip 3 ila anajiskia nafuu. Nkamsalimia hakunijibu, zaidi zaidi alilia Sana. Nkamuulza bint wa kaz, Nini kimempata mama ako.

Akasema na yeye kashangaa ila mama alkua Safi TU na simu anachati sebleni ghafla akaagiza maji ya kunywa aliporudi akamkuta kaanguka chini anapumua kwa shida. Ndo kuita majirani ndo wamemleta hapa hospitali. Mmh! Aisee nafsi ikastuka nkawaza huenda ikawa wife nae ameshaukwaa ule UGONJWA WETU WA CHAGAMOTO YA UPUMUAJI. Maana hapa katkat alkua na mafua.

Ikabidi nicheki dokta, dokta akanambia uyu presha ilipanda TU Hana tatizo lolote vipimo vinaonyesha Hana tatizo zaidi na leo Leo Kama ataendelea ivo basi ataruhusiwa.

Amani ikarejea, Ikabid Nirudi wodini kuchek maendeleo ya wife. Aliponiona TU naingia, wife akaanza kuangua kilio Sana. Mpaka nesi aliekua anamhudumia akanambia nitoke nje.

Basi nkaenda zangu moja kwa moja home, ila kichwani mawazo kibao
-kwanini wife ameanguka?
-kwanini Amelia Sana aliponiona naingia?
-kwanini hata pole yangu amekataa kuijibu?

Ilpofika usiku, Wife akarejeshwa nyumban moja wa Moja mpk bedroom. This time ikabidi niwe mpole, baada ya dada kumhudumia chakula na kwenda kulala. Ikabidi nimwombe wife anieleze tatizo nn mpk amepelekwa hospitali. Alichofanya ni kunikabidhi TU sim yake na kunambia niende kwny meseji.

Aisee,
WAKUU NLICHOKIKUTA UKO NI CHA KUTISHA.

Ni kwamba kulikua na majibizano makali sana ya maneno Kati ya wife wangu na Yule mchepuko wangu. Kibaya zaidi Ni kwamba mchepuko alkua akimwambia maneno ya kukera,matusi na kujinadi anapendwa Kias kwamba ilikua inamuumiza Sana wife. Kiukweli, nilijikuta nakua mdogo Kama piritoni.

Eti Anamuambia Hadi mbinu zote nlzokua natumia kumuaga wife ili nikale nae tunda. Anamtajia siku Hadi tarehe. Na Kuna picha flani hivi za chumbani tuliwahi piga wote, nyingine tulipiga Zanzibar vacation. Zote akafowadi kwa wife.

Kibaya Zaid kuna hotel Moja ndogo iko Arusha (MERCURY) tuliwai enda kula tunda pale Kwny mizunguko yangu ya kikazi na picha kadhaa tukapiga pale. Eti nazo kamforwadia na kamwandikia kua iyo ni nyumba yake nmeshamnunulia. Yeye wife aendelee kukaa kwenye ilo banda la kuku, yeye anaenjoi kwnyw bangaloo lake.

Aisee Ni mengi Sana alumtumia wife, ila kiukweli yote yanaumiza sana. Wife akaninyanga sim yake na kuendelea kulia kwa uchungu.
Ikabidi nimpoze wife kua ayo anayojinadi kwny chats HAMNA la ukweli hapo na iyo Ni hoteli, Japokua haiondoi ukweli kua nilichepuka na anisamehe kwa ilo.

Aisee, usiku ule niliguafilika Sana khs Yule mchepuko alichokifanya. Alfajiri na mapema nikamfata nyumbani kwake.

Nkamwambia
"KUANZIA LEO MIMI NA WEWE BHASI, HUWEZ KUMTUKANA wife NA KUTAJA SIRI ZETU KWA WIFE ili aumie. Hufai kua na Mimi Tena kwny mahusiano"

Basi baada ya hapo, zikapita wiki 2 bila mawasiliano na Yule mchepuko (japokua alkua anapiga sn sim nazikata na smsm sijibu) amani ikarejea kabisa home. Gafla siku moja nikaitwa baa na rafk angu mmoja TUTAHESHIMIANA Sana kwny bar flan apa mjini. Kufika nkawakuta rafiki zangu wengine watatu pamoja na Yule binti.

Mwanzoni nlitaka Nirudi Ila nkaona ntakua nmefanya utoto, huwez jua wameniitia Nini. Kufika zikaanza stori za kumuombea msamaha Yule mchepuko. Kiukweli Nlikasirika Sana ikabidi niwaaambie TU alichokifanya Yule binti. Na wote wakaafiki mchepuko kazingua na aombe msamaha. Akaomba Sana msamaha, ila nkampa sharti moja TU.

SITAKI TENA KUSKIA AMEJIBIZANA NA WIFE, haijalishi wife amemuanza au lah. Ikiwezekana ablock kabisa No ake, au abadili line asimpate kabisa. Mchepuko akakubali yote Ayo. Na rafiki zangu tukagonga bia Kama kawaida, nkambeba mchepuko kumrudisha nyumban kwake. Kufika kwake, akang'aniza Nile tunda maana Ni siku nyingi kanimis. Bila hiyana, tukalimega nkajimwagia maji na kurudi home.

Siku tatu baadae, ilkua j.pili asbh bado nmelala wife anakusanya nguo ili akafue. Ghafla naamshwa "Baba G Kuna mzigo wako huu apa nmeukuta kwny suruari yako hii" Kuangalia, duh! BIKINI YA PINKI hii apa. Nliishiwa na Nguvu ghafla, nkajitetea kua labda ilkua ya kipindi kile nlichokua na mahusiano na Yule binti. Akakataa kabisa, akasema siku tatu zilizopita anakumbuka amenyoosha hii suruari na nmevaa nmeenda nayo kazini.

Ilo nnalosema sio kweli, inawezekana Kuna mwanamke nmekutana nae uko au huenda nmerudiana na Yule mwanamke. Nkabisha kata kata, basi likaisha juu juu siku ile.

Jumatatu yake Niko kazini, Wife anpg simu niangalie sms Kuna kitua amenitumia. Kufungua sms. Nakuta kaniforwadia screen shot ya chat zake na Yule mchepuko.

Mchepuko anakili kua usiku ule alikua na Mimi. Yeye (wife) hapendwi ni Bora TU atafute mwanaume mwingine au Kama yamemshinda arudi TU kwao maana moyo wangu umekufa na umeoza juu yake yeye mchepuko. Kwake siruki Wala sikoromi amenishika ipasavyo.

Aisee, moyo uliniuma mno ila nkasema ngoja nkifika home nikajiridhishe isije nikafanya maamuz kumbe Ni Photoshop imehusika.

Nkamjibu TU wife shortly "Ntalishughulikia nkifika nyumbani" Usiku Nlipofika TU home, break yakwanza kwny simu ya wife nikajiridhishe. Aisee Ni kweli wamejibiza na ile Ni NAMBA ya mchepuko. Usiku ule nililala na jazba mwili mzima nkingojea kukuche nkamzibue makofi mpumbavu Yule.

Alfajiri na mapema, nkaongoza had nyumban kwa mchepuko. Nkamuuliza "ndo umefanya Nini Sasa, na tulikubaliana Nini" Akasema
"Sasa mi ningefanyaje, si ameyataka mwenyewe" "Mahusiano yenyewe siyaelewi elewi, mwaka sasa kila sku unanificha ficha UTANITAMBULISHA LINI" "Umeshindwa kunitambulisha,Sasa nmejitambulisha mwenyewe. Akubali akatae mi ndo bi mdogo.
Anatakiwa alijue ilo na aniheshimu alimwaga mboga namwaga ugali"

Nkamuuliza "hivi unaakili nzuri wewe? au umelewa?" Akajibu, "Sijalewa nna akili zangu nzuri TU, labda wewe nikuulize ilo swali maana unachokificha akipo rafiki zako kibao wananijua, unahofia Nini mkeo akinijua Sasa"

Akamalizia na bonge la kicheko "ha ha ha ha...ndo nshaongea ivo, baba G upoo?" Aisee hasira zilinioanda ghafla nkamuwasha makofi mawili ya haraka haraka. Akainuka akaanza kurusha matusi, akavuta suruari yangu chini ya mfuko na kuichana. Nikamfata nkamuongezea jingine la Nguvu zaidi mpaka alama za viganja zikaonekana.

Nkaona watu wameanza kusogea kuamulia. Ikabidi niondoke eneo like haraka Sana nsije jaza watu. Nkaenda zangu moja kwa moja mpk home,

Wife kuniona "vipi tena Mbona ivyo jasho na nguo zimechanika" Nkamjibu TU "Kuna mpumbavu mmoja uko nmemfundisha adabu"
Kesho yake alfajir at sijapiga mswaki naskia hodi kubwa. Kufungua maaskari hao. Nkawekwa kwnyw pikipiki yao Hadi kituoni, wife nae akafata nyuma.

Kufika nkakuta mchepuko kafugua kesi nimempiga,nmemdhalilisha, nmemjeruhi na nimemuibia Ela LAKI tano. Maaskali wakataka waniweke ndani, Wife akawaambia "mwanamke muongo uyo Malaya mkubwa..."

Nkamkatisha wife, Nkawaaambia maaskali, "Kwaiyo yeye alkua anatakaje?" Askali akajibu, "Bila shaka unatakiwa ulipe KWANZA izo Ela ulizomnyang'anya afu Mambo mengine ya kisheria yafate mkondo. Vinginevyo MUENDE mahakamani"

Sijakaa sawa, wale rafki zangu walotusuluisha kipind kile na mchepuko wakatokea. Wakamwita Yule Askali nje, Kisha wakamwita Yule binti nje. Baadae Yule Askali karudi akanifata na kunambia inuka uende mkayamalize nyumbani. Kufika nje, namuona yule MCHEPUKO Yuko na wale jamaa zangu.

Wananiita nkaona siwez sogea pale naweza pasua mtu Tena. Nkapanda kwa wife tunaenda nyumbani. Kufika TU nyumbani nkaona wife kafurahi kweli ananisifia. Eti "Sijawai jua mme wangu wanapenda hivi" "Umenifurahusha Sana leo mme wangu, umemkomesha Malaya Yule kivuruge wa ndoa za watu"

"Umemchapa kichapo Cha haja sura haitamaniki" "Asante Sana mme wangu, kwa kusimama kiume kuitetea ndoa yako" Nkamwambia
"Kabla ya yote nisamehe Sana mke wanting, niliteleza pale" Akjibu "Usiwe na wasi nishakusamehe mme wangu, na Leo nna zawadi yako. Unikune mpk kukuche baba G"

Aisee nilifarijika Sana moyoni. Ila nashkuru mungu kumuepuka Yule mchepuko, maana alikokua anaelekea Ni kuniharibia familia yangu.

Niliapa kanisan kumpenda na kumlinga mke WANGU kwenye shida na Raha. Na naongea hivi nikimaanisha kutokana moyoni.

Ila Kiukweli MKE WANGU NAMPENDA SANA Tena , sema tu MICHEPUKO sitoacha maana kinachonipeleka kule sio upendo Bali Ni hulka TU ya kiume tulioumbiwa na mungu kubadilisha ladha tunapopata wasaa kimya kimya bila kuathiri mustakabali mzima wa familia.

sema TU pale niliteleza, mchepuko Yule nilibug KABISA alkua kichw maji.

****ALAMSIK
hamjakumbushia tena?
 
Back
Top Bottom