Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,402
- 54,845
Ikiwepo na wewe kiongozi wao...Lugha za vijana wa hovyo pale mjini ‘daslam’ mkuu.
🤓🤓🤓😂
Ikiwepo na wewe kiongozi wao...Lugha za vijana wa hovyo pale mjini ‘daslam’ mkuu.
Ikiwepo na wewe kiongozi wao...
![]()
Salout mkuu...Mm ni askarii mkuu all the way from Makao.
Endelea ulilizimisha kila mtu hutoboi humu..endeleza ulipoishiaGuys naona weng MNA PM
Story ni ya kweli kabisa Ila kutokana na bullying and torture I decided to quit mtanisamehe
Galanosi Sekondari naye mabweni yote yana vyoo ndani.Iyunga Tech
Wakuu nina majonzi;
Crush wangu leo kavishwa pete ya uchumba na mwanaume wake.... nimehuzunika sana. Nifanyeje? Au nimpigie mpenzi wangu nimwombe ushauri?
mzee utaachika Napo kwa mpenz wkoNa uongo umekua mwingiVisa vimekwisha watu wanaanza umbeya
hongera,Juzi nilikula kizembe sana toto la Kiha
Huyu manzi nilimpiga mistari miaka mitatu iliyopita. Akaonyesha dalili baadae ghafla akanipiga block. Bahati mbaya ni ofisi jirani ambayo kila siku lazima tuonane. Japo yeye alikuwa ananikwepa maana alikula kama 50k hivi. Mimi nikampotezea huku nikimuonyesha sijamind kabisa.
Mwezi huu akaanza kunitumia sms za usiku mwema na kazi njema. Mara juzi kanialika kwake. Nimeenda pale sina hili wala lile tunapiga stori tu tena kwa makusudi nikakaa naye mbali kabisa. Mpaka saa 4 usiku, mwisho nikamuaga, tukanyanyuka anitoe getini.
Mara ghafla akazima taa na kunikumbatia. Mwanaume wa kukataa fursa kama hii hayupo, nikaliunga.
Heeee si akaniambia twende chumbani. Kwa hiyo wazee mwanamke akikuringia usitie hasira.
Umekuwa kimasikhara hapo kakaJuzi nilikula kizembe sana toto la Kiha

Wazee wa mkonge chai kawaha....Galanosi Sekondari naye mabweni yote yana vyoo ndani.
Zamani zile kulikuwa na pasi za shule za umeme na combination locks kwenye lockers.Kwa sisi ambao tulipita Mazengo enzi hizo ambapo siku hizi ndio St. John University pale Dom ilikuwa na vyoo na bafu ndani kila floor. Nje viliwekwa kwa kuwa maji yalikuwa yanatoka kwa shida
Mie nimesoma kwiro,Kwa sisi ambao tulipita Mazengo enzi hizo ambapo siku hizi ndio St. John University pale Dom ilikuwa na vyoo na bafu ndani kila floor. Nje viliwekwa kwa kuwa maji yalikuwa yanatoka kwa shida
Sema mate wangu.Wazee wa mkonge chai kawaha....
Wazee wa galanos school penda watoto....!
Wivu tuu
Uzembe mkubwa huoNimekosa kosa kumla mke wa mtu kimasihara imeniuma balaaa![]()