Bado nasisitiza wanaume km hawa km bado wapo sijui,huko tunapoendelea atanunuliwa gari na atajenga nyumba kwa ajiri ya mama mkwe πŸ₯΄
πŸ˜†πŸ˜†

Umewaza kama mimi.
Lazima huko mbeleni kuna gari itanunuliwa na usishangae hiyo nyumba ya mbweni tukaambiwa ni gorofa na account ya bank tukaambiwa mpaka sasa ina 300mills na duka kwa siku linaingiza 50mills na mama wawili na yeye anafuata mzigo China.πŸ˜†

Mwanaume muongo huyu kawazidi hata mademu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ila ujuba ni vazi la stara sana, mbona ulivuliwa kirahisi sana ?
 
Ulizingua kinoma mpaka leo nikikumbuka ile situation nachoka kabisa
 
Ah wapi ukisha kojoa tu unaanza kujuta sijui ni Mimi tu ndio napitiaga hii Hali...kama asaivi namfukuzia cocastic najua nikishamkojolea tu biashara itaishia hapo...naanza kujuta muda wangu nilioupoteza kumfukuzia🀩🀩🀩
 
Ah wapi ukisha kojoa tu unaanza kujuta sijui ni Mimi tu ndio napitiaga hii Hali...kama asaivi namfukuzia cocastic najua nikishamkojolea tu biashara itaishia hapo...naanza kujuta muda wangu nilioupoteza kumfukuzia[emoji2956][emoji2956][emoji2956]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinambieee wee, hebu tuma muamalaa chapuuu nikupatieee.
 
Kuna kitu kingine unakificha kwenye hicho kinywaji either Kuna kitu ulimuwekea au ulimbaka...mtu mwenye akili zake timamu awezi kukutukana Kwa jambo alilolitaka mwenyewe
 
Kuna vitu umeruka...ilikuwaje ukamla...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…