Aisee wewe ni mchafu sana, hata kama umepata HIV sitasikitika
 
Tafuta ARV mapema kabla haujasambaa sana.
 
Utasumbuka sana, hana hisia huyo ilishawahi kunikuta mim, nilijaribu kukaa nae kwa ukaribu zaid akaniambia kua hanaga hisia, kwaiyo ww chapa mwendo tu na uyo wako atakua kama huyu niliyewahi kukutana nae
 
Hata akiwa anajijua unadhani angekuambia?Sasa kwa nini alikuwa mgumu kupima?
 
Ukimwi wa siku hizi sio kiviiiiiiiiiiiiiiiiiiiileeeeeeeeee
 
Habari zenu

Wataalam nimekutana na mkasa huu lisaa limoja lilopita navyoongea sasa nipo Hospital nachukua dawa za PEP Mungu Mwema naamini sijapata...
Kwa hiyo ulimpima wakati umeshamla hadi tigo. R.I.P in advance!!
 
WAZUNGU HAWATUPENDI. MADAKTARI FUNDISHENI WATU UKWELI JUU YA HUYU RETROVIRUS H.I.V NI WA KAWAIDA KABISA SIO WA KUMWOGOPA KABISA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…