Wakuu wa masihara nipo kwenye Mbio za Mwenge hapa Changarawe primary, nani mwingine niko nae hapa tujuane.
Nilikuepo Jana hapo usiku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] napata mbili Tatu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ulimuona Linah??
 
Wakuu Niko namalizia doz ya malaria ila jna msabato mmoja alikuja geto kunijlia Hali baada ya kumuambia naumwa kilichotokea hta mm mgnjwa cjui lkn aliliwa kimasihara na la mkwezi, kauli ninayokumbuka kutoka kwake lkn ww unaumwa
Leo aliyeliwa kimasihara kanikumbka
 

Attachments

  • Screenshot_20230513-084007_1.jpg
    46.9 KB · Views: 110
Ilitakiwa utoe siri akiwa hai. Kwa sasa fuata taratibu za kutubu/kuungama dhambi. Na hiyo inaweza kuisha katika ya wewe, Mungu, na aliyekusikia na kukuongoza toba. Sio lazima umati wote ujue labda kama una mambo mengine
 
Ilitakiwa utoe siri akiwa hai. Kwa sasa fuata taratibu za kutubu/kuungama dhambi. Na hiyo inaweza kuisha katika ya wewe, Mungu, na aliyekusikia na kukuongoza toba. Sio lazima umati wote ujue labda kama una mambo mengine
Sawa Mkuu Mungu aniongoze Katika hatua zake[emoji120]
 
Eeeeh kaka Na Kayumba ,Msagasumu, we ulikaa wapi master[emoji1]
Nilikua nyuma ya jukwaa pale kwenye nyama ya mbuzi karibu na hile sinema ya royal tour mkuu umeondoka mm bado nipo uku MU [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
hii sio kimasihara mkuu.
 
wewe ni ke au me?? para ya kwanza imenivuruga
 
Sasa hapo ndio umeeleza au huo ni utangulizi (Dibaji)?
 
Nilikua nyuma ya jukwaa pale kwenye nyama ya mbuzi karibu na hile sinema ya royal tour mkuu umeondoka mm bado nipo uku MU [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ahahaha nimeshasepa kaka, kama bado upo MU nikija ntakutafuta kaka ,hapo kwenye banda la nyama huko palikuwa na warembo fulan hivi wamevaa kama form six nyeupe hivi .

Uliwaona wale wadada wanaoshindana kunengua[emoji28][emoji28][emoji28]
 
hii ilishatumwa humu.una cope n paste?
 
The Prophet ﷺ said:

‎“From the most wicked people in the sight of Allah on the Day of Judgment is a man who has sexual intercourse with a woman and then exposes her secret (meaning: tells people what they have done)”

Sahih Muslim 1437
 
Baada ya kusoma sana visa vya RICK BOY ngoja niwape changu cha masikhara miaka hyo Bibo hostel hapo.

Manzi mmoja tulitoka nae kitaa, fatilia sana toka tupo 4m4 wapiiii hataki kuelewa, tukamaliza six, nilikuwa nasoma mikoa yenye baridi kali huko yeye yupo Town kiba***a nikirudi likizo jaribu hapa na kule lakini wapi...hataki kuelewa.

Zikatoka selection kujiunga elimu ya juu nikawa hapo town ye akachaguliwa mtakatifu kwa bahati mbaya akashindwa kwenda kutokana na ada. Ikabidi avute mwaka..ilipofika wakati wa kuomba akanitafuta bwana alikuwa ananiamini kwenye mambo mengi na mengi nilikuwa nafahamu kwakweli na namsaidia ila kuniachia ndio alikuwa anaweka ngumu.

Nikamwambia panda bibo...nikufanyie application..soma sana cut off za tcu...akaja nikapanga machaguo..bwanabwana selection zinatoka kachaguliwa town hapohapo akawa yupo nayeye bibo...ingawa tupo campus tofauti..

Bado tupia story za hapa na pale bado anachomoa...bwana wee siku nipo room naumwa nshakunywa na metakeflin napigiwa anataka nimtoe dinner...lalala tunatoka bwana mitaa fulani pale bar xhini karibu na brbr nagusia chumba hakuna ubishi wale wadada walishanizoea pale...kuingia ndani kumbe bwana aliakuwa amejipanga..pamoja na kuumwa nilipiga..lakini kila nikipiga mwili unazidi juwa wa baridi mpaka akastuka ninini mbona miguu ya baridi na feni inapuliza kinyama. Kuja kumwambia nna metakeflini na nimekuja kwakuwa umenisumbua..alicheka sanaaa ikabidi ipangwee tena game nikiwa mzima wa afya salama salimini.
 
Ntawaletea ya mdada mmoja mnyambo sura ya kinyarwanda...akiwa mwaka wa tatu mi wa kwanza...aiseee
 
Huyo katoka kugombana na jamaa wake, hasira zake kaamua akupe kilaini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…