Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Tatizo wamekaririshwa eti SIFA YA MWANAUME SURA MBAYA

Kuwa HB kuna faida yake pia..watuache tutambe.Ukiwa na vipesa kidogo kila kitu simple tu hutumii nguvu nyingi.
Ila nikisikia Kwa masikio yangu kabisa mdada akisema anataka kuzaa na MWANAUME mwenye muonekani mzuri Ili mtoto wake awemzuri
hii tabia ikishamiri itakuwa tatizo
 
Sas nani anataka mwanae awe rafu rafu usonihaijalishi ni wa kiume au wa kike

Sasa akiwa wa kiume ndo awe kma Kbak jamani??? Au mzee fulan yule wa Mkoan Mara🥸🥸
 
Yaaan nyie jamaa hamjaelew kitu kimoja swal la U HB lipo halipingw ila kitu ambacho me binafs sikubalian nacho ni kutunisha kifua unaanz kutuambia sis wanaume wenzako kwamb wew ni HB ndo nin asa then sis tufanye au tukuchukuliaj
Wew Kam hb Kaa na u hb wako faid matunda yako kimya kimya unaonekan tu ni HB huna haja ya kutuvikbishia
 
Huo UHB wake ndo umesababisha kula kimasihara..ndo maana alijikuta anasema..wala hakukuambia wewe ila ni ndani ya story ya kula kimasihara na anaambiwa na wanawake wengi kuwa ni HB au siyo..
 
Hata hvyo hakuna alipoonesha kuuringishia huo uHB wake
Katikati ya story ndo katupia ila sas wana masihara wamemjia juu
Ambapo hata kama ni HB sio vbaya kwan shida iko wapi hata akijisemea au akakaa kmya ndo uhb utapotea au
 
Nipo kikazi mkoa XXX kwenye shirika moja lakin mradi unafanyika mikoa 2 ambayo yote naisimamia mim mwenyewe. Siku nipo home kuna ndugu yangu anasoma degree chuo uo mkoa mwingine akapost picha ya rafiki yake yeye anasoma diploma sio wanasoma nae anamuwish Happy birthday. Manz mkali saaana, katimia kila idara sura, shape, rangi nikamcheck ndugu yangu apa vip niombee namba nimsalimie, akaongea akakubali nikatumwa namba. Nikampigia nikajitambulisha nikamsfia na kumpa salam za birthday na nin yakaisha siku zikaenda. Overtime nikawa namchek namsalimia tuna chat chat hapa na pale akawa na hamu sana ya kuniona baada ya kujua nafanya kazi so ela ya mboga atapata, pia n kama I am familiar person sababu yule ndugu yangu aliyeniunganisaha nae ya uyu manz n family friend hata uo mkoa wanapotoka.

Long story short kama baada ya 2 month nikapata safari kwenda huo mkoa ambao pia nasimamia mradi na huwa tukiend tunafikia hoteli kali sana ya nyota 4 kwa uo mkoa so it’s a big deal mtu ukimwambia unalala apo. Lazma ajue tu si haba sio chenji zipo, so nlifika jpili jioni nikamchek akasema tuonane j4 Akitoka class na kweli siku ikafika mm nimemaliza mishe zangu akanichek ohh ndo najiandaa nije nikasema poa. Pale hoteli niliyofikia kwa pembeni kulikua na pub/lounge kali tu ya kishua na hata bei za zimechangamka sana so nikasogea pale nikaagiza bia nikawa napiga mdgo mdgo nikamtumia location, in 1 hour time akafika. Ebana kusema ukweli manz n mkali kavaa kigauni flani chepesi na strips black af chin kava araba flan kamech na gauni, paja linaonekana alivokaa akatoa khanga akajifunika kuua soo maana alikua ana attract sana attention pale. Binafsi mm sikua na mpango wa kula tunda ile siku nlitaka tu tupige story tujuane then mengine yaendelee taratibu alaf kesho nlikua na kazi as nipo field na watu wangu so I kept it neutral. Kaja waiter pale dem kaagiza Four cousins wine, me namchek tu nikaagiza msosi tukala, me nakula bia tu. Since kafka saa 11 jioni by saa 3 na nusu usiku nmeagiza four cousin ya 2 apo inakaribia saa 4 usiku nikamwambia twende sehem nyingine kwenye mziki tukamalize siku apa pametosha akasema af yeye anataka shisha and kuna lounge mpya imefunguliwa pia ipo close by af kali sana nikasema poa twende. Kabla ya hapo nikasema twende hoteli chumbani nirudishe simu 1 maana nna simu 2 so sikua na haja ya kwenda nazo zote mda huo na kwa mawazo yangu nikajua atasema nakusubiri naona na yeye kanyanyuka ananifuata basi hao hadi room. Naingia pale wahudum wanashangaa nmetoa wapi pisi kali ivi wakati wananipa zile Key Card za kufungulia mlango tu mm sina time nao. Tumefika room dem kanza ohh sijawahi ingia ii hotel leo ndo first time, kaenda washroom katoka kajilaza kitandani ohh the bed is nice ohh una charger ya Iphone nikampa. Me nikavua shat vaa Tshirt nikapuliza perfume nikamwambia twende akasema naacha pochi na ile chupa ya 2 ya Four cousins ilobaki akaicha yupo ohh ntaipitia vyote tukirudi mimi sikuwaza sana nikasema poa hata sikuwaza chochote. Nadhani alipagawa tu na mm nilivyo hahahah.

Tumefika kaagiza Flying Fish, likaja Shisha pale anavuta me namchek tu mimi nikaendeleza bia, tumekaa kama 1 hour tu akaanza ohh naskia usingiz nikasema tusepe haoo vuum had hotel. Nikajua anachukua vitu anasepa uyoo kavua nguo zote kaingia bafuni mm nipo zangu tu bed mda huo akawa kajui namna ya ku switch on heater sasa si ndo kuniita dohh naingia ivi kumuona tu asee sikuamini asee dem alivoumbika na mimi nika undress nikamjoin pale pale kwenye jacuzi basi ndugu msomaji tukaoga nikapiga cha kwanza bafuni ( one of romatic sex I ever had i my life yy mwenyewe bado anaota ii ndoto, it was soo good) tukaja room nikapiga cha 2 tukalala ( Apa nliuza mechi mazee). Kesho nimeamka nikapiga cha 3. Dereva kaja hoteli kanipitia nikaoga nataka kusepa namuuliza unaenda chuo yuko ohh ntaenda jioni nikaona kanogewa uyu nikafungua wallet nikampa 40K nikamwambia by saa 8 mchana ntakua nmerudi nlivotoka nikaweka kile ki tag cha do not disturb kwenye kitasa nnje ili watu wa usafi wasilete nongwa. Kweli nmerudi kama 8 na nusu mchana namkuta anachat tu na simu ohh apa kuna wireless sijaboreka kabisa mm namchek tu nikaweka kifo cha mende nikapiga cha mwisho. Tumemaliza tukaoga pale kwenye saa 10 ivi tukatoka hao had sehem moja ivi tukala msosi nikamwitia bajaji nimkampa tena 30k ya nauli ndo akasepa.

Long story short, ilibid nicheck out hotelini Friday dem akakomaa nikaondoka jpili jioni na izo weekend zoote ilikua n show show tu maana nlihama hoteli nyingine nzuri ila sio kama ile ya kwanza. From there akawa ndo dem wangu bahati nzuri/mbaya nikaja kuhama kazi nikaenda mkoa mwigine kusin mwa Tanzania nlivosettle nikamtumia nauli akaja likizo moja kule akakaa tena 1 week akarudi zake. But had leo n dem wangu nipo nae japo mahusiano yetu n long distance.
 
Hongera mkuu
 
Ila nikisikia Kwa masikio yangu kabisa mdada akisema anataka kuzaa na MWANAUME mwenye muonekani mzuri Ili mtoto wake awemzuri
hii tabia ikishamiri itakuwa tatizo
Hii tabia ipo na wanasema moja kwa moja bila kujivunga.
 
Hawa wanawake wala shisha siwaamini kabisa,usikute uliopoa kimalaya kinachojiuza.
 
Ibgekuwa sura na uzuri basi simba asingekua anang,oa pis kalikali vile na anabadilisha atakavyo.ibgekua sura bas hemed angekua na lundo la warembo ila sabab maskini anawapata level yake tu
 
Ukiwa na hela madem utawala sana binafsi hizi hela zangu chache nimeamua nijihudumie mwenyew na nistay singular
 
Sema hii siyo masihara umetongoza kabisa mkuu..nafikiri Rikiboy aeleze upya maana ya neno kimasihara.
 
Aisee naona wanaume wanajisifia sura dalili za ushoga hizo....nendeni tiktok ndo Pana wafaa
Tatizo wenyes sure personal mnaumia sana mkisikia hii😀😀

Walaumuni wazazi wenu kwa kuchaguana wote sura ngumu kama trakoo la nyani..

Sifa ya mwanaume ni kazi siyo sura ngumu..nyambaaafu😀
 
Back
Top Bottom