FundiNgoma
Senior Member
- Dec 26, 2019
- 138
- 282
Mwamba alikula kimasiharaAnasema soda haipandi, anamaanisha anataka bia
Nikamleta kanywa weee, mpaka zimemshinda,
Mara abeue, acheue,
Jicho legelege, aah akawa bwege,
Kumbe kitu mwakewake, baba ake,
Ilikuwa jioni jioni, kile kigiza cha usoni,
Mapenzi ni kama upofu, mbele hatuoni,
Lagha zimemshinda, yupo hoi kitandani,
Muda ulipofika, si umeme ukakatika,
Utasema Tanesco walijua, kama mi leo ntaua,
Umekuja kuwaka, tumenyoka nyakanyaka

