Mgonjwa huyooo🀣🀣
 
kumbe ndo wewe dogo uliekuwa unanisumbua nikicheza na yule demu nilienda kumgonga mjini maeneo ya pipe line afu nipo na maiga hapa rombo mida hii
 
Leo kutoka Mza kuelekea Mjini.. nimepanda na mshangazi mmoja una chura ila inanizidi umri,

hapa tupo idodomya, kwa mazungumzo yetu imebainika anamilikiwa kihalali na mtu, ila naona kaanza mazoea ya kunisikilizisha video clips na kunionyesha msg mbalimbali Whatsapp huku akinisemesha kwa kunishika paja mara kwa mara...

Nitaleta mrejesho
 
Shuka lodge umle huyo
 
Kyai[emoji16]
 
Uandishi kama Bata kaharisha UHARO,ulimaliza darasa la Saba kweli wewe??
 
chai
 
Oya, Huu Uzi ni matukio ya kula tunda ,matukio yanasamuliwa , Mwandishi anaweza asiwe mzuri kiuamdishi ila anatukio lake.

sasa mtu anapoweka tukio la masihara, achen tabia ya kuanza kushambulia Mwandiko wake.

jikiteni kwenye tukio la kula tunda.

tafadhalini sana, msifanye watu wakaacha kuleta visa vyako.

Wahusika wa Huu Uzi ,mnaelewa maana Huu Uzi, Sina uhakika kama Uzi umevamiwa au lah? Mnaotaka Mwandiko mzuri, mwenden jukwaa lenu la Elimu
 
Sasa hapo mi ndo huwa nawashangaa mkuu...sema uzuri wamekuta sis wengine hatuna stress..ni vijana wetu hao tunajua nn kinawasumbua..Wasijali Mama anaupiga mwingi Wasikate tamaaπŸ˜‡..mana huwez andika Kisa chako afu mtu anakuj kutukan mwandiko km sio stress ni nn! Kwan kn mtu anatumia peni humu
 
Kamanda achana nao[emoji123] mbona mie flow inashuka fresh tu vibe lotee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…