Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Oya, Huu Uzi ni matukio ya kula tunda ,matukio yanasamuliwa , Mwandishi anaweza asiwe mzuri kiuamdishi ila anatukio lake.

sasa mtu anapoweka tukio la masihara, achen tabia ya kuanza kushambulia Mwandiko wake.

jikiteni kwenye tukio la kula tunda .

tafadhalini sana, msifanye watu wakaacha kuleta visa vyako .

Wahusika wa Huu Uzi ,mnaelewa maana Huu Uzi, Sina uhakika kama Uzi umevamiwa au lah? Mnaotaka Mwandiko mzuri, mwenden jukwaa lenu la Elimu
Kama anajijua yeye sio mzuri kiuandishi NINASHAURI " Ni heri apige kimya asisimulie story yake"
Humu ndani kuna watoto wana miandiko migumu sana kuisoma, Imagin mtu anaandika ofc, sn. Kwakweli utoto huu hauvumiliki
 
Kwan Walio nyanduriwa ni dada zako wa Damu??? Unaumia ukiwa pande za wapii na ushamba mwingi ulonao? Au ni udogo wa elimu? We ulivyo pigiwa makofi kwa kuandika Dictation nzuri juz darasa la 4 ndo unaona ushamaliza maisha unakuj kukosoa watu ambao wana elimu zao ila uzito wa kuandik kw kufuata alama na wepesi wa kuwahi muda kw kuandika vifupi ndo unahis hawajasoma...Fuckin Chicken Head..! Watoto mko weng sana kwny huu Uzi..Im out📌
 
Kwan Walio nyanduriwa ni dada zako wa Damu??? Unaumia ukiwa pande za wapii na ushamba mwingi ulonao? Au ni udogo wa elimu? We ulivyo pigiwa makofi kwa kuandika Dictation nzuri juz darasa la 4 ndo unaona ushamaliza maisha unakuj kukosoa watu ambao wana elimu zao ila uzito wa kuandik kw kufuata alama na wepesi wa kuwahi muda kw kuandika vifupi ndo unahis hawajasoma...Fuckin Chicken Head..! Watoto mko weng sana kwny huu Uzi..Im out[emoji419]
Mkuu leta visa hata niwe nasoma pekee yangu ambae muandiko haumuwezi aache aanze kusoma za miaka ya nyuma mbona ziko nyingi

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Niko kwa process ya kumla kimasihara zumarid.... nitawaletea feedback very soon
IMG-20220418-WA0016.jpg
 
Kama anajijua yeye sio mzuri kiuandishi NINASHAURI " Ni heri apige kimya asisimulie story yake"
Humu ndani kuna watoto wana miandiko migumu sana kuisoma, Imagin mtu anaandika ofc, sn. Kwakweli utoto huu hauvumiliki
Hujalazimishwa kusoma aisee unaweza kuacha na kusoma vingine, mwache awe na uhuru wa kuchangia alichonacho. Wewe hupangiwi ya kufanya ndiyo uje kupangia wengine. Hebu ishi kama mtu mzima
 
Mkuu leta visa hata niwe nasoma pekee yangu ambae muandiko haumuwezi aache aanze kusoma za miaka ya nyuma mbona ziko nyingi

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Dah Hakikaa Mkuu nimekupata kwa Moja na Moja Namba..Aise umenena hapo kn Pages 1k na somethings back anaweza zirejea taratibu akihisi tunamuumizia macho..đź’Ş
 
Kwan Walio nyanduriwa ni dada zako wa Damu??? Unaumia ukiwa pande za wapii na ushamba mwingi ulonao? Au ni udogo wa elimu? We ulivyo pigiwa makofi kwa kuandika Dictation nzuri juz darasa la 4 ndo unaona ushamaliza maisha unakuj kukosoa watu ambao wana elimu zao ila uzito wa kuandik kw kufuata alama na wepesi wa kuwahi muda kw kuandika vifupi ndo unahis hawajasoma...Fuckin Chicken Head..! Watoto mko weng sana kwny huu Uzi..Im out📌
Kwa mwandiko huu pia unaonekana nawe ndo walewale, una elimu ndogo kijana usipimane na mimi. Kajifunze kubishana kwa Hoja ndo uje tena
 
Oya, Huu Uzi ni matukio ya kula tunda ,matukio yanasamuliwa , Mwandishi anaweza asiwe mzuri kiuamdishi ila anatukio lake.

sasa mtu anapoweka tukio la masihara, achen tabia ya kuanza kushambulia Mwandiko wake.

jikiteni kwenye tukio la kula tunda .

tafadhalini sana, msifanye watu wakaacha kuleta visa vyako .

Wahusika wa Huu Uzi ,mnaelewa maana Huu Uzi, Sina uhakika kama Uzi umevamiwa au lah? Mnaotaka Mwandiko mzuri, mwenden jukwaa lenu la Elimu
Huu uzi ni burudani.. Unapoleta kisa hakikisha unatuburudisha.. Siyo unaandika andika tu, bora ubaki na masihara yako.
 
Back
Top Bottom