Usiwaze masihara tuu Kuna kupakatwa pia.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Sasa hawa ndiyo pasua kichwa kabisa wana ufala na utoto mwingi
 
Yaani hizi msg kaka hutakiwi hata kujisifia kwa sababu msg tu zinaonyesha ni wanawake wa aina gani unao deal nao. Mi ni mwanaume mwenzako ila kuna muda naona aibu mimi, hasa hao wake za watu sioni kama unawafanyia fair
Ningesema mm nngeonekana namchukia huyu dogo,,,,hamna kitu hapa,,hakuna dr anaeweza kufanya haya,,

Dr wa mchongo
 

hawa madem ukijitoa ufaham unawala vizur sana
 

[emoji16][emoji16]
 

da[emoji16][emoji16]
 
Alianza kulike picha zangu mtandaon naamka hivi nakuta demu kalike picha zangu karibia zote nikasema lahaula lailakwata! Kumcheki sina urafiki nae kuchek mutual frriend hamna hata mmoja. Nikajiuliza past activity nilizofanya pengine akawa impressed, nikakumbuka comments moja ya kiwaki ktk group la mahusiano,

Nikazama nami nikalike picha zake mtot si haba mashaalah nikaona isiwe tabu nikamesenja hi after sometime tukaanza chatting, tukaamia wasap within a day tushaanza kuitana wapenz alooh sijui hata niliingiza gia vipi angani, he siku ya pili tukapanga miadi siku ya tatu tukakutana na kutafunana, mechi ilikuwa ya kibabe , fb nakutana na pisi nying kuna zingine tumeplan kuonana sijui kapoteza simu hadi kesho simuoni online mamaee alafu wawili sijui majini mi nakula ivo ivo

Age yake ni kanizid kidg ila alikubali show ndo tukajuwana zaid kumbe ni mtu anaejiheshimu mwanamke mpambanaji tu kama yupo humu akiisoma anisamehe,
 
Ningesema mm nngeonekana namchukia huyu dogo,,,,hamna kitu hapa,,hakuna dr anaeweza kufanya haya,,

Dr wa mchongo
Nina mshikaji alikua mpangaji mwenzangu kipindi nipo chuo kasomea udokta saiv anakaribia kumaliza ile intern yao ya mwaka mmoja.. jamaa alikua anakula madem sio chini ya tatu daily.!! Sijui kama kaacha

Kitu kama huna experience nacho usifikiri ni chai. Hata mimi zamani nilikua na ratiba ya kuingiza dem mpya geto kila siku ila nilikuja kuacha baada ya kuponea chupuchupu kuukwaa.

kuna watu sex ndo kama dini yao na wanaitumikia kikamilifu tena hao madokta ndo usiseme wanakula sana manesi na wagonjwa[emoji1787][emoji1787]

Carlos The Jackal
 
Ujui kupangilia maandishi meku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…