[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Pole mzee umenyookaa.. Hapo ungejaribu kutumia muunganiko wa dawa mbili..

Praziquantel na Cefixime ungekuwaa poa...
Hahaha mzeee Noma Noma tanga kuna UTI Kali saaana
 
Ohooo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unataka kuhatarisha ndoa za watu wewe, hapo mwanamke anang'ang'ania SMS imekosewa sio yake itakuwa ya mchepuko maana hajazoea kuambiwa hivyo
Huyu dr uchwara hana akili kabisa huyu nadhan yupo kitengo cha waosha maiti maana ndo akili zao zipo kama huyu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jamaaa yako hakukuwahi Kula hiyo pisi?
 
Mkuu kwani hukutumia ndom? Kuna uzi humu tulisumuliwa mwamba kachukuliwa na Israel kisa UTI.
 
Alimpata mtoto lakini?
 
Its good thing it ended well. Mlozi aliishia wapi sasa?
 
Siku moja ktk pita njia nikakatiza hapo kati ya popobawa na bi nyau njaa nikashuka zama kwenye kigrosari kimoja barabarani nile japo chips yai na kischana.
Bana ile kuzama kuna pisi sio kali kivilee ile ina nyashi ya kutosha nikaona ngoja na yenyewe niitie kwenye menu.
Haikua kazi,
Bia bia kadhaa maongezi,mi bana nimechoka twende tukapumzike guest.
Demu guest ya ninii nakaa hapo jirani mtaa wa pili twende kwangu.
E bana nilifyatua yule Demu kimoja tu mbele.
Badae nikawa natopeka tu siku mbili niko mle ndani kawa mke kabisa.
Balaa sasa.
Natoka pale siku yapili kojo halieleweki.
Unajua kukojoa uji?
Yaani ile mkojo ukikubana unaanza kulia kwanza,
Nilijuta,
Pigwa sindano 5za mshipa ndio kupona.
Hapo shatumia dawa zote unazijua wewe
Yule mwanamke akinisalimia najibu 'niache mwana ku*anyoko zako'
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pole Boss ndio ukubwa huo aisee
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]polee kaka
 
Komaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…