Bora niwe ovyo tu maana nikiwa smart wake za watu wanakuja kama wote
 
Bodaboda mbona hawapo? Hao walimu wa madrasa watoe au ili kubalance story ongeza wachungaj hapo
 
Aisee dingii una balaa [emoji23][emoji119][emoji111]
 
Aenziwe RIKBOY.!!
Mzee wa Uzi wa masikhara..
 
3. WAGANGA WA KIENYEJI.
Hawa pengine ndiyo wanaoongoza kula tunda kimasihara. Kwani wanawake wengi huliwa bila kutegemea kipindi wakienda kutafuta tiba kwa waganga wa kienyeji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…