Habarini wazee na mimi leo naomba nieleze jinsi gani nilikula kimasihara

Mwaka huu mwezi wa nane nilikua mkoa fulani kikazi hivyo taratibu katika kupepesa huku na kule nikapata urafiki na pisi moja kali sana,Basi nikaitupia nyavu kama kawaida ikaeleweka.

Siku moja nikiwa kazini huku nimefua nguo zangu nyakat za mchana hvyo ilibid nizipeleke getto nnaloishi muda wa kazi ulipoisha,hammadi demu huyu hapa amekuja kunisalimia kazini basi nikamwambia anisindikize getto kuweka nguo alikataa katu katu,nikambembeleza kidogo kuwa basi anisindikize atakaa nje,kufika nje ya nyumba nikaingia haraka nikamwambia aingie mara moja sio vizuri kusimama nje baada ya hapo kuingia tu nikasema hapana leo lazima niuunge mkono uzi wa riki boy,hajakaa vizuri tayar nilikuwa nimepeleka mkono sehemu husika na hatimae nikamla kimasihara NB: (niliuza mechi lakini nilishajua status yake kwa mbinu zangu za kivita)
 
Pole sana mkuu.....but kama Mali ni safi....hakuna shida
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Dah eti hajibu sms zako
 
Oooooh kumbe ndo hvyoooooo?? Ngoja nipitie kumbukumbu zang ntarudi tena hapaa, [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah..kina masihara ya mtu usiejua kabisa na masihara ya mtu wako ila hiyo siku huenda mlikua na ratiba nyingine kabisa wala hamkua kwenye mawazo ya game
Mara pap ukajikuta upo empty 😄😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…