Nimekaa kimya mda mrefu hapa

Juzi wakati natokea mtwara basi saa nne nikifika stend na kukaa siti yangu namba 13 nilimkuta mkaka amekaa nikamwambia siti yangu akanyanyuka akanipisha

Sasa akaja kukaa mdada mmoja hivi sikumpenda nikawa naonyesha kiburi nipo bize na jf nacheka commnet kumbe nyuma ya siti kaka mdada pia ananichora mda mwingi sana

Tukafika sehemu ya chakula nikaenda kununua nikaludi kwenye gar yule dada ananichora tu nikasema ngoja nimchokoze

Nikamwambia unaweza nichajia smu yangu akaitikia kwa furaha ndio nikampa akaweka mimi nikawa nachezea simu nasoma jf uku nacheka

Akaza kuniuliza mkuranga hivi bado hatujafika nikamjibu yah uku nampotezea akawa analeta mazoea nikasema ngoja nimpe ushirikiano basi nikampa

Tuliongea wew mpaka kufika temeke nikampa simu aka andika namba nikashuka akaenda zake na mm zangu sasa cha ajabu mpaka leo hajibuu sms

Nimemaliza kuwasilisha
 
Sa ni nini hiki?
 
Alkuletea shobo kwny gar ukamvungia, kwann umeanza kumtext?[emoji23]
 
Umenipa shida sana kusoma aisee
 
Yaani Kuna wavulana huku. Utafikiri ndo wamekutana na papuchi kwa Mara Ya kwanza!

Hivi mnafikiria mkishajitapa hivi mnapata reward gani?

Mnachefua vibaya mno.
Huu mwandiko ni wazi ulipitiwa kimasihara[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaha Mbeya kuna Yutiai Kali sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna babu mmoja yuko pale Mbalizi, njia ya kwenda Mkwajuni/Makongorosi, ana Noah. Ana tibu UTI kwa dawa za asili. Fika pale kwa msaada zaidi.
 
Jaman naelekea Morogoro nipo kwa BM ya saa kumi na mbili jioni hiii Nikifika Moro nitalala Logde , sasa naomba conection ya Moro nisilale mpweke jaman.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wewe tafuta huko huko hapa lete mrejesho jinsi ulivyo Kula kimasikhara bila kinga
 
Usikute hajui kusoma,,,, mpigie.
 
UNA LI ANKO LAKO UNALIHESHIMU, ETI NI KIONGOZI WA FAMILIA KUMBE NALO KATI YA WANAOANDIKA UPUPU HAPA[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…