Kimasikhara inarudi tena baada ya kupita muda mrefu.
Mwaka fulan nikiwa namaliza 4m 4 nilikuwa na kademu fulani hivi ka 4m 2. Sasa tuliwah kuahidiana kwamba siku nikimaliza kidato cha 4 atanitunuku tunda na ni kweli siku ya siku ikafika akanikabidhi tunda nikala.
Baada ya kupita week kadhaa akanitafuta kupitia simu ya rafiki yake akaniambia nyumbani kwao wamegundua ana ujauzito na wanataka amtaje mtu aliyempa ujauzito.
Aliniamby nifanye mpango nihame mkoa ili nisikamatwe maana dada yake alidhamiria kunitaja kwani alijua uhusiano wa mdogo wake na mimi.
Aisee yule dada mtu alininyima raha sana nilikuwa nashinda sili na kuna wakati nilikuwa nashindia andazi moja tu.
Kiufupi yule bibie alimisscarg ujauzito wa miezi 5[emoji22]
Sasa baada ya kupita mika mingi juzi yule dada mtu na bibie alinicheki cjui namba yangu alipewa na nani! Akaniamby kuna binti yake amemaliza chuo na ana prof ya kazi ninayofanya so alikuwa anataka anionganishe naye ili nimpe muongozo.
Kweli yule binti alikuja kunichek na akaniamby aliambiwa kuwa mim ni ex wa mama mdg wake. Basi tukafahamiana japo sura alikuwa haifahamu kwasababu alikuwa mdgo sana kipind kile.
Sasa tulipeana appointment nyingi sana bila ya mafanikio ukizingatia na mim mishe mishe zangu kurudi ni saa mbili za usiku, nikawa nimemshaur aje tuongee nyumbani ndo itakuwa poa akawa ananizungusha
Sasa jana mida ya saa mbili usiku kamenipigia kanakuja nikashangaa kamekuja saa 4 usiku basi kamekuja tukawa tumekaa tunapiga stori za hapa na pale nikamwamby nenda ukaoge ukalale kasema hajabeba kitu kwasababu hakuwa na uhakika wa kulala, nikaenda kumpatia taulo yangu akawa ameenda kuoga.
Dah aisee alipotoka kuoga akaja moja kwa moja sebuleni akakaa kweny koch jingine mda huo me namuangalia tu. Nikamwambia naona unanisapoti mimi hapa mpaka asubuhi akaniuliza kwann? Nikamwamby mim nalala hapa akasema kean chumba kingine si kipo? Nikamby ndyo ila leo najisikia kulala hapa.
Akasema ukilala hapa namm nalala hapa, nikamwamby okay njoo tulale[emoji16] akaniuliza sure? Nikamwamby yeah njoo. Aisee alikuja na taulo yake ile akanilalia kwa juu na mdomo wake akapitisha kwenye shingo!
Ah aisee sikuweza kuvumilia nikashika kiuno na mkono mwingine ukaingia ikweta ukawa unafanya tafiti za ndani.
Aisee kiufupi nilimkula yule binti mpaka leo mchana ndo akaondoka. Ni fundi kinoma ameondoka na magoli yake mengi tu.
NB: masaa hayajazingatia mabadiliko ya siku kwa format ya 24hrs.
Naomba kuwasilisha.[emoji120][emoji120]