Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Uzi wa miaka. Nikupe heko rickboy kwa uzi wako wa maisha halisi ambayo vijana na watu wazima tunapitia. Japo wengi hatuwezi andika yote maana hatupwndi tujulikane tupoje ila kwangu huu ni uzi uloshika hisia za wengi sana na wengi wameupitia na wengine kwenda kutumia njia zilizotumiwa na wengine kwaajili ya kula tunda kimasihara.

Keep it going bro
 
Back
Top Bottom