Unapo kuwa muongo bas jaribu usiwe msahaulifu

£[` tutajie wee Ni jinsi gani mnk Kuna uzi wako umeleta ukisem wee Ni mwanaume ,au

Janaume
 
Unaelewa maana ya statutory rape? Pale unapofanya mapenzi na mtoto chini ya miaka 18, ambayo ndo age of majority, tayari inakuwa considered kama rape.. haijalishi huyo binti ni mwanafunzi au sio mwanafunzi
Kama yupo chini ya miaka 18, tayari umebaka!
 
Unaelewa maana ya statutory rape? Pale unapofanya mapenzi na mtoto chini ya miaka 18, ambayo ndo age of majority, tayari inakuwa considered kama rape.. haijalishi huyo binti ni mwanafunzi au sio mwanafunzi
Akiwa chini ya miaka 18, tayari kisheria umeshabaka
 
Wajuzi wa mambo **** loose ball moja pembeni yangu hapa inaelekwa dodoma inasema yeye mgeni huko. Nipeni mbinu za kumaloza mchezo. Tupo chalinze hapa so nataka moaka tunafika kibaigwa mambo yawe yameeleweka
 
Hao wanaojifanya wageni sehemu wanazoenda ni gear ya kukuseti wewe udhani umepata kumbe umepatwa!

Hawana tofauti na wale ambao huwa wanajifanya ni wanachuo.
 
Wajuzi wa mambo **** loose ball moja pembeni yangu hapa inaelekwa dodoma inasema yeye mgeni huko. Nipeni mbinu za kumaloza mchezo. Tupo chalinze hapa so nataka moaka tunafika kibaigwa mambo yawe yameeleweka
Mzee wewe ndio wa kupewa mbinu kweli? Hem fanya kununua hata bites kama korosho na take away juice umkaribishe bidada, mazungumzo yote yanaanzia hapo..ukishindwa basi mbususu tuachie sie[emoji16][emoji16]
 
Mie sijawahi kula kimasikhara....ebu ngoja niende na hiyo ice breaker yako
 
Bata mchafu?

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Ni bata hasa?? Sijaelewa kaka .. ni bata ki vp???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…