Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
[emoji23][emoji23][emoji23] Weeeh ebu niache itakuwa sio kimasihara hii ni kupangaNinashukuru Mkuu. Au tuifanikishe pamoja tuone experience yake. W
Au sio mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23] Weeeh ebu niache itakuwa sio kimasihara hii ni kupangaNinashukuru Mkuu. Au tuifanikishe pamoja tuone experience yake. W
Au sio mkuu?
Sema kweli akii!Kila nikikumbuka naona sijawahi kuliwa kimasihara yaani naona kuliwa kote nimeridhia tu mwenyewe
Dah! Sasa itakuaje? Ngoja tuendelee kufikiria namna ya kuifanya iwe kimasikhara.[emoji23][emoji23][emoji23] Weeeh ebu niache itakuwa sio kimasihara hii ni kupanga
HatariiiUmejuaje aliuza mechi? Haya mambo ndio kuna group moja walikua wanakataa,hakuna mtoto mdogo humu wa kumwambia mwenzie kauza mechi,hakuna asiejua magonjwa ,wote watu wazima,so comments za kuuza mechi wekeni kapuni.Hakuna mtoto mdogo humu wakuu.
Kwani ilifungwa? Maana sometimes imekuwa kama movie za xKatika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasiraa, jamaa ake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana maumivu ya kuachwa! Hizi ndo moment kubwa ambazo gilrs wengi wanaliwa bila kutarajia wala kupanga.
Mimi niliona status demu flani ninaemkubali kaandika i need somebody to talk to aisee nikampigia video call kumbe alikuwa analiaa nkamwambia upo wapi?? Akasema yupo hostel anaugulia maumivu bwana ake kamla rafika ake na ana ushahidi aisee nkamwambia pole sana.
Vipi tutoke bhasi ukapoteze mawazo kidogo? Akasema twende tu me nshachoka kuumizwa. Aisee ile siku sikuamini nilihisi ni ndoto japo baada ya tukio akaniblock kisa nilimpost demu wangu. Na yeye akampost jamaa eti ili anikomoe nkasema wanawake bhana.
Je, vipi ushawahi kula tamu kiutani utani tu? Mlidumu kama wapenzi baada ya kumla?
===========
TAKE NOTE:
===========
Moderator: Hii thread imerejeshwa na owner wa mjadala amekuwa rikiboy kama ilivyoombwa na wadau. Mnaombwa kuzingatia lugha katika uwasilishaji wa maoni
Chisomeko wewe ni mtu wa mpwapwa??
Wanasagana? Kama hawasagani, maana yake wanaume tunahusika kwenye uzinzi wao, hence SISI WOTE WAZINZI UKIWEMO WEWEZERO IQ,
SINA MUDA WA KUANDIKA, LAKINI HAYO UNAYOSEMA YAKO SANA MAOFISINI.
KWA SASA WANAWAKE NDIO WAZINZI KULIKO SISI WANAUME.
Kwa lugha hii, hakuna mwanamke mrahisi wala malaya..!!Kauli ya kuingilia December.....
Kumla kimasihara mwanamke haimaanishi yeye ni mrahisi... mwanamke uliyemkula kuna wadau wanamfukuzia karibu mwaka na hawajaambulia kitu.... so tuwaheshimu sana wanawake wanaotutunuku na kamwe tusiwatumie kama kigezo cha kusema wanawake ni warahisi........
M nadhani wote wapoKwa lugha hii, hakuna mwanamke mrahisi wala malaya..!!
Hapana, maana huyo huyo anaweza akawa malaya kwako, lakini wengine wanamfukuzia na hawampati ngóo..!!! Kwa mujibu wa mtoa hoja bwana @mnesopotamia, mwenye tabia hiyo hapo juu si malayaM nadhani wote wapo
Nipasie basi aloohh uyo bata nile hata kipapatiloNgoja na mimi leo nichangamshe genge..
Last week niko zangu ndani ya Ratco express natoka Tanga kwenda dsm,kushoto kwangu kuna binti kavaa vikuku miguu yote miwili na baibui lenye nakshi za kituruki na miwani ya kichokozi,mikono imejaa piko kama mwali wa kidigo...
Safari ikaendelea,kwa kawaida huwa sinaga shobo safarini,yaani ni wale mikausho mikali..sasa kufika msata chombo inakunja kuitafuta bagamoyo binti akaongea...
"Kaka samahani simu yangu imeishiwa na salio naomba kama una salio nimpigie mwenyeji wangu"
Nikamuuliza kichokozi "Ni mwanamke au mwanaume?" Akatabasamu kisha akajibu.."Ni dada yangu bana" nikampa simu...
Basi ikabidi nichomekee kwani unashukia wapi? Akajibu bagamoyo..na ndio maana akawa anamtafuta mwenyeji wake kwani anakaribia kushuka...
Kweli bana gari baada ya kutoka mizani bagamoyo tunakunja keep left ya bagamoyo akashuka..akaniaga then akashuka...(mkumbuke sijaomba namba)
Zikapita kama siku mbili simu yangu ikaita.kupokea nasikia sauti ya inayotokea puani.."Hallow asalaam aleikum.." Mmmh nikaguna kabla sijajibu..baadae nikaitikia nikauliza "Nani mwenzangu"...
Kumbe ni yule binti...alichukua namba yangu kwa dada yake..kufupisha story..si mnakumbuka niliwaambia binti alivaa vikuku? Basi hakuvaa tu urembo..ni bata hasa...
(Anonymous...)
Sindio hapo sasaVijana wa hovyo kwel,dk5 umekuwa kuku?
Kweli mkuu duh ulifaidi hiyo tigo.Ngoja na mimi leo nichangamshe genge..
Last week niko zangu ndani ya Ratco express natoka Tanga kwenda dsm,kushoto kwangu kuna binti kavaa vikuku miguu yote miwili na baibui lenye nakshi za kituruki na miwani ya kichokozi,mikono imejaa piko kama mwali wa kidigo...
Safari ikaendelea,kwa kawaida huwa sinaga shobo safarini,yaani ni wale mikausho mikali..sasa kufika msata chombo inakunja kuitafuta bagamoyo binti akaongea...
"Kaka samahani simu yangu imeishiwa na salio naomba kama una salio nimpigie mwenyeji wangu"
Nikamuuliza kichokozi "Ni mwanamke au mwanaume?" Akatabasamu kisha akajibu.."Ni dada yangu bana" nikampa simu...
Basi ikabidi nichomekee kwani unashukia wapi? Akajibu bagamoyo..na ndio maana akawa anamtafuta mwenyeji wake kwani anakaribia kushuka...
Kweli bana gari baada ya kutoka mizani bagamoyo tunakunja keep left ya bagamoyo akashuka..akaniaga then akashuka...(mkumbuke sijaomba namba)
Zikapita kama siku mbili simu yangu ikaita.kupokea nasikia sauti ya inayotokea puani.."Hallow asalaam aleikum.." Mmmh nikaguna kabla sijajibu..baadae nikaitikia nikauliza "Nani mwenzangu"...
Kumbe ni yule binti...alichukua namba yangu kwa dada yake..kufupisha story..si mnakumbuka niliwaambia binti alivaa vikuku? Basi hakuvaa tu urembo..ni bata hasa...
(Anonymous...)
Mzembe!! Siku Moja watakuwekea mtego upolweAlhamis ya tarehe 17/11/2022 nilipewa kazi kwenda kuwalipa mishahara wakusanya mapato wa ukanda flani wa halmshauri hii X . Nilikuepo natumia pikipiki hizi za boxer 125 nikiepo njiani naelekea kupeleka mapato njiani nikaona na msichana hapo anaelekea ukanda huohuo ambao Mimi naelekea. Nikasimamisha pikipiki nikamsalimia nikamuuliza anaelekea wapi akanielekeza basi nikampatia na lift . Njiani nikawa napiga Naye Stori za hapa na pale nikamwambia nikikamilisha kazi tunarudi nakupeleka kwangu anasema ni Sawa. Nikaenda vituo vyote nikawalipa Mishahara wa vijana . Yule binti nikampeleka mpaka huko aliko kuepo anaenda nikafika tukaenda Kwa mama yake nikamsalia akaukizwa anakasema amenikodi kama boda Boda wake . Akaenda kwenye Nyumba Yao(bibi yake) akachukua udagaa nikapakia kwenye pikipiki basi nikampeleka mpaka kijijini kwao akashusha udagaa . Basi safari ya kwenda kwenye kijijini ninapoishi ikaanza ndani ya 20 minutes tukaepo tumefika home. Tukapika chai tukanywa then nikaenda kuoga nikarudi nikaamza kumtomasa nikamvua nguo zote. Kumbe kale kabinti kalikuepo ni Bikrabikra kabisa. Nilihangaika Naye kuanzia SAA sita mpaka SAA nane nikawa sijafanikiwa kuitoa Bikra Ile . Tukikubaliana alale nikaogopa nikamrudisha kwao Ila tumekubaliana tuonane tena kwaajili ya kuja kuivunja Ile Bikra. Tumeanda game tena . Nasubiri alhamis ijayo nitatoroka ofisini mapema na boxer yangu naenda kumfuata namleta home ili nikamilishe Ile kazi
KWELI KABISA,Wanasagana? Kama hawasagani, maana yake wanaume tunahusika kwenye uzinzi wao, hence SISI WOTE WAZINZI UKIWEMO WEWE
Kweli tena ila inaonekana kuliwa kimasihara inakuwa tamu sana sababu hamjapanga inatokea tu yaaniSema kweli akii!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1]ni tamu sana, ni kama kukulana kwa kuibia ibia huwa inakuwa hot sanaKweli tena ila inaonekana kuliwa kimasihara inakuwa tamu sana sababu hamjapanga inatokea tu yaani
Dah nimejikuta eti natamaniii nitamwambia babe wangu anikule hata siku moja kimasihara[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1]ni tamu sana, ni kama kukulana kwa kuibia ibia huwa inakuwa hot sana
Hahahahaaaaaaa.....usisahau kunipa mrejesho mambo yatakavyokuwa bambamDah nimejikuta eti natamaniii nitamwambia babe wangu anikule hata siku moja kimasihara
Uweee..!!!Kweli tena ila inaonekana kuliwa kimasihara inakuwa tamu sana sababu hamjapanga inatokea tu yaani