Sijaona wanawake wakitoa story zao jinsi walivyo liwa kimasihara
 
Hapa ww ndio 'uliliwa' kimasihara babu 😁😁
 
Na angekuchabanga kweli kwenye hiyo naniliu, hahahahahaha
 
Aise umemla wife we jamaa mungu anakuona
 
[emoji23][emoji23][emoji23]umetisha mzee
 
Hahahahahah dah.

Kweli tamthilia ilizaa matunda
 
Usirudie kosa tena bahariaaaa ndom muhimu
 
Hahahaha ulinasa kwenye tundu bov mzeeiya
 
Haya matunda yanaliwa kimasihara kwa asilimia kubwa Ni kwenye nyumba za kupanga. Ngoja namimi nikapange huenda nikatunukiwa tunda kimasihara
Ahahahaha unaweza kwenda kupanga mkakutana wote mabachela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…