Nilishasema hapa kwenye uzi mmoja kwamba boda asiingie ndani ha geti lako utatafuniwa mke tu. Mwamba ameweka ma tracking digital watu wanapiga mzigo kianalojia kabisa. Kiongozi na wewe tumia busara kidogo maisha ni mzunguko.
 
Kwahiyo wewe umeona alichokifanya mmewake hana akili? Unajua angefanya mangapi kama angeachiwa azurule hovyo??
 
Kuna uzi ukisoma inabidi ufunge kamba kichwa cha chini maana purukushani yake si mchezo.
 
Chai ya Karne [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]
 
Kumbe we msela maviii eeh
 
Reactions: y-n
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…