livafan
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 2,973
- 5,629
Jana Nilimuomba Namba mke wa Jirani Yangu aliyepanga siku za hivi karibuni karibu na nilipo kwa nia ya kumuomba mbususu kwa bahati Mbaya , hii nasema ilikuwa bahati mbaya kwa sababu kuna sehemu nilikuwa nimekaa kwenye kimvuli cha mti ulioko pembezoni ya barabara nikishushia taratibu na maji pendwa toka Bonite ( brand ya Kilimanjaro ) maana jua lilikuwa likichoma sana.
Baada ya Muda kidogo niliona mdada ameumbika vizuri hasa na Mwenye mvuto akitokea upande nilikokuwa nimeelekeza mgongo wangu, nilimwangalia kidogo kwa kuibia ibia bila kumkagua vizuri lengo ni kwamba akishafika nilipo nimsimamishe na kumzubaisha kwa maneno kidogo.
Mdada alivyofika pale nilipokuwa nikamuita kwa kum please nae aka respond postively vizuri kabisa na kwa uchangamfu. Kwa kuwa alikuwa na uharaka sana nikaona si busara kumpotezea muda nikaona niombe namba ili badae niweze kufikisha ujumbe niliokuwa nimezamilia kwake.
Kumuomba Namba Mrembo (Mke wa Jirani) si akachomoa bwana
, kaniambia siwezi kukupa namba yangu, tena nikaona amejawa na aibu haswa baada ya kumgusia swala la namba , wakati huo na mimi kumbu kumbu zikawa zinanijia kwa mbali haswa bila kukumbuka ya kwamba huyu ni jirani kaja juzi juzi tu ( nilikuwa bado sijamkalili vizuri in short) , nilimsisitiza sana anipatie mawasiliano lkn aligoma na akaanza kuondoka sehemu nilokuwa nimemsimamisha.
Baada kuondoka pale nikakaa nikiwaza na kuwazua ya Kuwa huyu Mrembo nilishawahi kumuona wapi, si ndio badae kabisa fikira zangu zikanijia ya Kwamba Huyu Binti mdada ndiye yule Jirani yangu aliyehamia juzi juzi pale ninapoishi.
Kugugundua hilo nilitambua sababu ni ipi na ni kwa nini huyu mrembo aligoma kabisa kunipa mawasiliano na hiyo ni kwa sababu mimi ananifahamu na tu majira nyumba kwa nyumba, niliingiwa na hofu sana nikiwaza ya kwamba huyu Mdada atanifikiriaje na je hatomusanua Boy wake, mwisho wa siku likanijia wazo na kujisemea kwanini nisiende kumuomba msamaha huyu mtu.
Niliazimia kwenda kumuomba Msamaha muda w jioni punde nitakaporudi kutoka kwenye mishemishe zangu endapo tu kama mumewe hatokuwa amerudi, muda wa jioni ulipowadia nikawa niko maeneo ya home pale na ilinibidi niende kwa jirani huyu kana kwamba kuna kitu naenda kuomba na bahati nzuri kidume mwenzangu pale hakuwa amerudi pale, nilipofika nikabisha hodi na yule Mrembo akatokea na kunikaribisha, alistuka kuniona nimefika nyumbani, Nilimuomba Msamaha kwa kile kilichotokea maana sikuwa natambua muda huo nilimsimamisha nani.
Dada wa Watu akanielewa na akaniambia Wala hata usijari , kuwa na Amani kabisa hayo mbona mambo ya Kawaida, jisikie huru.
Leo hii mdada wa watu huwa tulipoonana ni kama ananiogopa ogopa, hajiamini tena mbele angu .
Binafsi kwa hapa hiyo kimasihara sihara hapa naona haitofaa kuitimiza
.
Baada ya Muda kidogo niliona mdada ameumbika vizuri hasa na Mwenye mvuto akitokea upande nilikokuwa nimeelekeza mgongo wangu, nilimwangalia kidogo kwa kuibia ibia bila kumkagua vizuri lengo ni kwamba akishafika nilipo nimsimamishe na kumzubaisha kwa maneno kidogo.
Mdada alivyofika pale nilipokuwa nikamuita kwa kum please nae aka respond postively vizuri kabisa na kwa uchangamfu. Kwa kuwa alikuwa na uharaka sana nikaona si busara kumpotezea muda nikaona niombe namba ili badae niweze kufikisha ujumbe niliokuwa nimezamilia kwake.
Kumuomba Namba Mrembo (Mke wa Jirani) si akachomoa bwana

, kaniambia siwezi kukupa namba yangu, tena nikaona amejawa na aibu haswa baada ya kumgusia swala la namba , wakati huo na mimi kumbu kumbu zikawa zinanijia kwa mbali haswa bila kukumbuka ya kwamba huyu ni jirani kaja juzi juzi tu ( nilikuwa bado sijamkalili vizuri in short) , nilimsisitiza sana anipatie mawasiliano lkn aligoma na akaanza kuondoka sehemu nilokuwa nimemsimamisha.Baada kuondoka pale nikakaa nikiwaza na kuwazua ya Kuwa huyu Mrembo nilishawahi kumuona wapi, si ndio badae kabisa fikira zangu zikanijia ya Kwamba Huyu Binti mdada ndiye yule Jirani yangu aliyehamia juzi juzi pale ninapoishi.