Umeweka vijiko vingapi vya sukar kwenye hii chai?
 
watoto serious wanaharibika, nakushauri kama umepanga kwenda kuishi IFAKARA usijaribu, hamna serikali kule naamini kwa 90% vitoto darasa la TANO tu vina mambo makubwa hatari,,, ukiomba unapewa
Ifakara ni balaaa unaeza kuhisi ni jamhuri ingine ile
 
Alikiwashaje mkuu lete story hiyo tuenjoy
Nilikuwa nimeenda bagamoyo kwenye semina Kama siku tatu,wakti huo yeye alikuwa anasoma chuo Cha ualim X.

Mimi kwa hiyana yangu baada ya kumaliza semina nikampogia simu majira ya kumi na moja jioni nikimuomba nimsalimie nimuachie pokert moyen as if my sister,sasa wakti anakuja nilikuwa maeneo flani pale bagamoyo panaitwa msalabani na nilikuwa na mfanyakazi mwenzangu ambae ni wakike Tena tumekaa kawaida tuu huku tukimwagilia moyo.

Akaja akatusalimia na nikamtambulisha ni dada yangu anasomea ualimu, basi yeye hakukaa Sana nichukua Kama 50k nikamkabidhi, sasa wakti anaondoka nikawa namsindikiza basi njiani analeta maneno Kama ya wivu ila sikumjali, nikajuwa ananitania tuu kumbe alichofanya nikupiga simu kwa wifi yake nyumabni na kuambia Ile hali ya pale.

Sina hili Wala lire narudi safari mke kanuna, Mimi kubembeleza Sana mbovu basii mke kanuna kaondoka kaenda kwao akisubili niendee nikajishushe, nikampogia simu mwl kwanini umemuambia Mambo Kama Yale wife anaishia kuchekacheka tuu, bahati nzuri akajileta field yake huku niliko basi akawa mke tuu ndani, sasa alivyosikia mother house akaja kukiwasha mbaya, basi ndio ikawa mwisho wa Mimi na mother house, ila huyu mwl kwasasa andoa yake na maisha yanaenda.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Mbususu inayowaniwa na wengi ndo tamu, siku ukiipata unatomba huku unaenjoy kwamba leo hatimaye nasuuza rungu
 
Sijaelewa kimasikhara ipo wapi hapo?
 
Leo nmekula kimasihara muhudumu wa lodge moja hapa town ......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…