Jamaa ni mgeni sana wa jiji maana ametaja njia hata haieleweki. Halafu anasema demu anakaa Kigamboni [emoji38] [emoji1787]
Ukiwa msikiti wa kichangani pale sio njia panda??? Acheni ushamba aisee kuna junction ya nje 4, yani kkoo, manzese, kigogo na na hii kama unatokea kinondoni panaitwa mataa
 
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Dah saint Anna tatu si ungempa k Vant tu?
 
Watapita tu huu uzi umepitia misukosuko mingi sana ulifutwa ukarudisha, mara ukaunganishwa, wakaj amakuruti humu akaja mchungaji na sasa tuko kwenye stage ya wanaume wanaonywa matako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni kisanga😅😅..watoto wa hospitali hawajui hizo mambo
 
Adi unamblock hakuwa kisu, adi ana mavuzi mengi na kakubali kuja kwako cku hyohyo na ukapiga inamaana hajatongozwa tu na masela ya uko, maana yake either sio kisu au ana skendo mbaya
 
Hujuagi kufupisha adithi, unaandika tu kisa una vidole
Au ndo zari la kwanza kulipata, unaweza jua ni zari kumbe umewindwa, wauzaji wengi skuiz wana techniques nying
 
Wanaume hatuelewekagi yaani binti wa watu amejitahidi kukupatia huduma nzuri ya kiwaango cha VIP badala umsifie we unamwona mambo mengi.

Kinyume chake unatakiwa utangaze ndoa kabisa hapo kwa sababu kwa manjonjo aliyokupa ukiishi nae basi hutachepuka kwa sababu anakushibisha kisawa Sawa.

Ukitosheka nae sana huna haja ya kumbwela mbwela nje Focus yote inakuwa kwenye kusaka hela tu mautamu unayo ndani.

Msifie basi
Mpende basi
Muoe basi
Anzisha nae maisha
 
Ana maajabu gani
 
Umemlala shemejio we jamaa aise ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…