Ulishawahi kula tunda kimasihara?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Hakika vipaji vya kula kimasihara kila siku vinazaliwa,

Tulikuwa na malegendary kina juma p maharage na wengine wengi kina acromy, kina kigakoyo, yupo mwamba alipiga nyapu ya binti juu ya kaburi la baake bichi kabisa watu ndo wamemaliza kuzika tu, nimeshamsahau jina. Wakaja kina mikito mikito wazee wa chai ila za maana,

Leo tena ameibuka mwamba mwingine lugugmya, aiseeee hakika jf haichoshi, mwamba anajua kusimulia.
Umemsahau mzee walindi,mzeeJames Bourne,hearly,nayule dada dokta aliyend Kwa ndoa Kule zenji wakati akiwa in ternship
 
Nimerudi sasa tuendelee....
Kama mjuavyo wageni wanapoingia kijijini lazima wajulikane.....watu mbalimbali walijenga mazoea na sisi akiwemo yule kijana (hasa mimi). Nikienda mgahawani kula chakula nakuta naambiwa kimelipwa, nikienda dukani kununua maji ya kunywa pia maana hapa duka lilikuwa karibu na hardware yao pia naambiwa rajab amelipa.
Sasa akaomba tukutane tuongee me bila hiyana nikakutana nae...akatuma mistari yake paleee me nkamwambia sijamuelewa...
Akaendelea na udhamini lakini me moyoni najua si naondoka tu mda wowote hatanipata. Na kweli week hiyo nkaamua kurudi zangu dar. Basi mchana wake nkamwambia kwamba me ntaenda kulala mtwara ili kesho yake niwepo dar nimepata dharura.

Mda ukafika me nkapanda zangu gari hadi mtwara mjini nkachukua Lodge...mida ya jioni nimepoa si akapiga simu ..eti yupo njiani anakuja mtwara Town nimwambie nilipo ili tuagane tu yeye arudi kijijini. Nkataka kumwambia asije lakini ashasema yuko njiani. Basi nkasema kwakuwa amesema anarudi jioni ile ile ukute hatataka mengi....
Kweli akafika nikampokea tukakaa nje kwenye hyo Lodge kuna bar kwa nje tukakaa tukapiga story mbili tatu huku tunakunywa soda .
Basi akasema yeye anataka kurudi ila anataka aone room kwangu tuu... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tukaenda room....kumbe ilikuwa mbinu yeye alishaipanga na kweli ikasaidia akaanza uchokoziii wake hadi akashinda kula tunda...
Hii siku nilisikitika sana asee
Pale ninapojua nimeondoka kijijini salama na nimeshinda vishawishi vya wakaka wengi tu huko sokoni nkaja kutua mikononi mwa haka kakijana kijiiingaaa
[emoji16][emoji16][emoji16]mmakonde alikuja na kizizi hichooo!!!
 
Akipatikana mdhamini wa kueleweka (I mean wa kueleweka) nitaleta namna nilivyopoteza bikira yangu kimasihara
Utaliwa kimasihara huko unakoelekea. nadhamini nimepatikana ila sijui kama nitaeleweka
 
Back
Top Bottom