Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Nan atawaoa hao bikra baada ya kuondolewa na akina nyie??
sisi wenyewe. yaani ni mchezo wa kusubiriana. bikra inatolewa fom two kuolewa miaka 10 baadae akishamaliza chuo na kupata kazi. wazazi wa dar hawataki kuozesha mabinti zao kwa amani kama hawajamaliza chuo labda umtie mimba akishamaliza sekondari.
 
Uzi nimeanza kusoma nimepanda gari mwendo Kasi city council mpaka kimara, kimara nimechukua Chuma mwendo Kasi ya kibaha bado nipo nao , Uzi unafanya Safari iwe fupi Sana, heshima Kwa wadada wote wanaotoa shuhuda .

Nawahakikishia shuhuda zenu haziendi bure zinatudindisha penye ukweli pasemwe.

Ukichoshwa na Stori za vita Kule waukrain na warusi unakuja Huku kupoteza mawazo.
 
sisi wenyewe. yaani ni mchezo wa kusubiriana. bikra inatolewa fom two kuolewa miaka 10 baadae akishamaliza chuo na kupata kazi. wazazi wa dar hawataki kuozesha mabinti zao kwa amani kama hawajamaliza chuo labda umtie mimba akishamaliza sekondari.
Khaa! Hatari
 
HARAKATI ZA UJANA SHULENI

Nilivyomla classmate kimasihara..

Ni bibie mmoja jina kapuni. tulisoma chuo kimoja pale morogoro. Sina uandishi mzuri but ishu ni content sokapo apa[emoji16][emoji16]

Huyu manzi alikuwa na boy wake pale chuo kipindi ambacho mim ni pimbi mmoja tu sina hili wala lile ni kuchill na washkaj na kupiga nyeto si unajua tena ukiwa huna demu![emoji16][emoji16]

Mazingira mapya yalinipa shida sana. Baadae nikawa na urafiki na mmoja kati ya rafiki zake jina la utani tulikuwa tunamuita kim jong un(ni wa kike[emoji16]) basi urafiki ulikolea sana but alikuwa ni mshikaj tu coz dizain fulan alikuwa mbovu na ni kama tom boy fulan hvi(kalio chuma) tuachane na tom boy tuje kwa bibie mwenyewe....?

Sasa kwakweli yule bibie(clasamate nilikuwa namkubali sana, ila kibaya tulikuwa hatuna mazoea zaidi ya lupeana salamu tu.

Nakumbuka ilikuwa second year mwanzoni kabisa nipo na jamaa yangu fulan tunaelekea kwa kim jong un kuchukua flash tukakutana njiani na yule bibie alivyotuona akatabasamu akawa anaongea na yule mshikaji wangu eti ooooh nyiny mnatembea mnakuja hadi huku!! Akagusia " unamtembeza na huyu handsome boy huku mtakabwa si mnaona mazingira jins yalivyo yaan usiku kunakuwa giza balaa"

Ah nilivyosikia nimeitwa handsome ikabidi nichangamke. Nikamwambia mim ni mgumu sura ya nyani uhandsome na mim wap na wap? Akaniambia wewe mrembo tu[emoji16] nikamwambia mrembo? Umevuka mipaka sasa inabidi unilipe fidia[emoji16][emoji16].

Akacheka akaniambia hauna lolote. Nikamwambia nijaribu uone, akawa anacheka tu[emoji16][emoji16] nikamwambia fulani eee baadae nakuja kwako kuchukua fidia yangu, akaniambia kama unaweza njoo umeona pale? Akawa ananionyesha nyumba moja hivi nje kuna muarobaini akasema ukifika pale nitumie msg kama kweli unataka fidia yako[emoji16][emoji16] just imagine aisee.

Basi tukaachana yeye akawa anaenda tunapotoka na sisi tukawa tunaenda kwa kim jong un. Njian jamaa ananijaza "mtoto kaelekea kibla ushindwe wewe. Tumefika kwa kim jong un tumekaa kama lisaa na nusu nikamcode mwamba akawa amenibless nikaaga niamshe mara moja jamaa akaniambia ukichelewa utanikuta kwenye ile bar nikasema poa. Nimeondoka pale kim jong un anajua naenda kuonana na mshikaji wangu.

Nimefika pale kwenye ile mitaa nikamchek akawa hapokei, piga tena ni vile vile nikatuma msg haikujibiwa nikaona nimeingizwa chaka. Nikawa najiandaa kurudi kwa kim jong un.

Sasa ile narud nikamuona kwa mbali anakuja akitokea ile njia ya kutokea chuo amevaa kanga na kipackage fulan hivi, nikagairi nikawa namsubiri. Alivyoniona tu akaanza kucheka[emoji16][emoji16].

Namalizia.........
 
Back
Top Bottom