Mtumishi kojoa chapu ukalale akili itulie uandae somo la jumapili kanisani kwako upate na sadaka huku hawakufuatilii na sadaka hutopata
 
Watu wali ignore lakini bado wananizungumzia.[emoji16][emoji16][emoji16] Namshukuru Mungu amenipatia vijana humu wa 4 nlikuwa bize na hao. Wengi maana nlitaka 1 tu. Imagine @ Rikboy kani ignore lakini nae amenipiga spana je alionaje post zangu[emoji16][emoji16][emoji16]. Hivo hata mimi nafatilia masihara muhimu kusoma

Kwamba mtu Anauza Duka la vitu vya nyumbani kama unga, mafuta vibaba, jambo zuri lakini anasema anagari hata hawara yake hajawahi kupanda. [emoji16] unabaki unasikitika tu.mda tu wa kutoka dukani hana. Mliita hadi Mods Kuweni na amani. Tuishi
 
Nyanyatole kaunga mkono hoja tuishi humu
 
Kumbe warembo wa jf wanaliwa kimasihara na madume ya jf na hamtuambii. Ebu tuambie bwana demu gani huyo umemkula kimasikhara...sio mawardat kweli?
 
Nyie watu wa humu hampendeki,mkiletewa mahubiri mnakasirika,msipoletewa mnayatamani[emoji23][emoji23]

Mmemzodoa mbaba wa watu kawaachieni uzi wenu,mnammisi tena[emoji23]

All the all UKIMWI upo na UNAUA.
Wee nae tutakufukuza kwenye uzi wetu pendwa
 
Yan very true...kuna wanawake kama wanne nishafanya kila aina ya vituko ila bado wapo tu...
 
Kuchepuka kwa faida
 
[emoji16] afu awe anatazamika Sasa[emoji134]. Mayooo unaweza uza urithi wote
Kuna dada huwa anasema nikikuona nalowana kiharage kinaruka ruka. Najuaga masihara... dhambi tamu sana ndo maana inaleta Mauti
 
Namjua huyo dada. Mcheshi hivi.
 
Kutokujua sheria za Nchi ya Tanzania chini ya Rais wa Tanzania [emoji1241] haimaanishi kwamba ukienda kinyume na SHERIA hizo na TARATIBU za nchi ambapo imejipangia kutazuia wewe kukutana na HUKUMU kwa Mujibu wa sheria.wakati mwingine na kifungo ama una nyongwa mpaka ufe.

Ni vile vile pia katika Ulimwengu huu wa macho na ule wa Roho kwa maana ya Tupo chini ya SHERIA,HUKUMU,AMRI NA MAAGIZO YA MUNGU ALIYEKUUMBA WW HAPO NA MIMI KWA MFANO WAKE KWA MAANA YA ROHO MAANA MUNGU NI ROHO.

Nehemiah : 1 : 7 - Tumetenda maovu mengi juu yako, wala hatukuzishika amri, wala sheria, wala hukumu, ulizomwamuru Musa, mtumishi wako.

UZINZI UPO KWENYE AMRI na UASHERATI upo kwenye sheria. Mzinzi ni Yule aliyeoa anamuacha mkewe na rafiki yake ni yule anaeanza mapenzi kabla ya ndoa. Hakuna NUTRO katika hivi usipotubu unakufa. Ama na ajar sikutishi ama na kulogwa ama na vyovyote sbb wewe si Mali ya Mungu ila umeumbwa nae.Lakini ukifanya hivo hata mara 1000 kwamba unakula mzigo unatubu yeye anakujua atakusaidia kuacha.

Nipo hapa kukukumbusha tu. Kama unavyo kumbuka condom maana unaogopa kufa basi kumbuka na kutubu maana umekwisha kufa Kiroho na kimwili ndivyo unavyodhibitisha kwa hayo matendo. WEWE NI MFU HAKUNA MBINGU YA WAFU.

Yesu alilijua hilo akaja ili Usife nami Nipo hapa maana ni mapenzi yake Mungu tukumbushane na huu Ndio hasa UPENDO.
Mwenye masikio na asikie Bwana alivo waambia Watu wa hii Thread. Kwamba anawapenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…