Wengine wana sema niende Jukwaa la Dini. Nami nawauliza. MUNGU DINI GANI? ukipata jibu kaa nalo uwe na hakika sijaingia bahati mbaya.
Walishakuja wengi wewe sijui wa Saba, utaondoka Kama wenzako. Fuatilia replies huko juu utakutana na wachungaji wenzako ambao walitwanga maji yakawashinda wakala kona
 
Wewe kimekuleta nn katika huu Uzi hebu tuache tufurahie maisha, wewe kapige gossip huko, Tena nyie mnaojifanya mnaombea watu ndiyo mmekubuhu uzinzi mnagonga wakeza za watu na kuwavunjia ndoa zao
 





Hivi wapi umebezwa, wapi nimejigamba[emoji16][emoji16] wapi nimetukana watu mnafanya matusi lakini naonekana mimi na wewe kwamba nimetukana li wap TUSI moja nimetukana. Ukweli unaita matusi . Kwamba nikuambie kwa upole kwamba ufanye nn sasa. Umeshindwa kuwasikia viongozi wako unaowapa sadaka unataka unisikie mimi[emoji16][emoji16]. Mimi nasema ukweli na Mungu anajua upokee au uache shauri lako.

1 Wathesalonike 4:7 - Maana Mungu hakutuitia uchafu, bali tuwe katika utakaso. KAMA HUJAITWA UTANIONA NAKUTUKANA LAKIN MUDA UKIFIKA NAWE UKAITWA ROHO YAKO ITAKUSHUHUDIA KWAMBA NALISEMA UKWELI. Lakin muda unaweza usifike pia Ndio maana Nipo hapa si wote walioitwa ila wengine walisikia wakaamini. Sio lazima uwe WEWE MBONA UNAJILAZIMISHA UWE WEWE

1 Wathesalonike : 4 : 8 - Basi yeye anayekataa, hakatai mwanadamu bali Mungu, anayewapa ninyi Roho wake Mtakatifu.

ANAE AMUA UOKOLEWE NI MUNGU SIO MWANADAMU SIJAJA KUOKOA MTU HAPA. Bali mwenye masikio atasikia sauti ya Bwana wake. Na Yeye na bwana wake Yesu watakutana wao mi sihusiki. Hivo relax mkuu wa kaz
 
Punyeto ni mapenzi kati ya mpiga nyeto na Mapepo lengo lao ni kuchukua Nguvu zako ziwe za kike au za kiume ukweli ni kwamba utakuwa Hanithi ukishupaza shingo utapiga bao kama kuku.

Kwa nn mapepo. Huchukua hizo nguvu na kuzitumia kufanya mapenzi na binadamu kwa ndoto nyevu. JINI mahaba. Ukiota unafanya mapenzi na unajua huna Nguvu ya Mungu amka Tubu kwa hali hiyo umeacha mlango wazi. Shetan kuna vitu kapitisha kwako ambavo si vya ki Mungu na ndo maana watu wanaelekezwa makanisani hawaelewi kitu maskio yameziba. Ndoto hizi ni moja ya chanzo.

Hali hii ikikupata takasa uume wako kwa damu ya Yesu ni kiungo kimetumika iwe uke takasa haijarishi hujui kuomba.

Shetan anaemdanganya mwanaume kwenye ndoa ndo huyo anaemkumbusha na mke majukumu ya kuchepuka. Upandacho ndicho uvunacho. Mfumo dume ni ujinga na upumbafu simama omba kwa Ajir ya Familia yako.

Yakobo 4:7 - Basi mtiini Mungu. Mpingeni Shetani, naye atawakimbia.

Kumbe usipompinga atabaki na wewe. Hivyo ulinzi kwako ni mtihani. Utagongwa gari, utalogwa utakufa kabla ya muda wako na sisi tutasema kazi ya Mungu haina makosa. Kumbe ni mungu pepo uliyemchagua. Baada ya kifo ni hukumu uwe hai ndugu. Yesu atakushindia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…