PoteaHata mimi langu maana naleta Habari njema. Hili jukwaa sio la uchafu
mkuu umeoa una mke?Mtachoka sana kama ndo hivo mana Nipo sana. Najua Najibiwa na mashetani yaliowafunga lakini niseme tu ninyi mlio na Nyama hamna kosa. Nipo kuwaponya hutaki dawa unakaa pembeni utaitaka hata mwakani.
Endeleza injili yako ukichoka utahamia jukwaa husika.Mtachoka sana kama ndo hivo mana Nipo sana. Najua Najibiwa na mashetani yaliowafunga lakini niseme tu ninyi mlio na Nyama hamna kosa. Nipo kuwaponya hutaki dawa unakaa pembeni utaitaka hata mwakani.
Hana akili.. Jukwaa la dini lipo, kazi kutuhangaisha tu
Fyokooo..!!!Bora kukosa akili. Nimepatia nasema na nyie ambao mmefungwa sbb ya dhambi za wazazi wenu, Babu na koo zetu Nipo hapa kuwapa Habari njema mwenye masikio ya kusikia atasikia. Aliye kipofu ataona mimi sina akili wala haina shida. Na itajulikana kila goti litapigwa kwa Bwana Yesu. Usipopokea wewe atapokea mwingine. Si mnasema thread inafatiliwa si mbaya nikahubir ntafatiliwa pia. Tuishi mkuu. Na vile mnaenda na kusali jumapil, jumamos na ijumaa mnatoa na sadaka. Amin nakwambia kwa miandiko hii bado mnayatolea mapepo sadaka. Haiwezekani ukaabudu na bado uasherati na uzinzi vikuandame. Hivo ni vifungo ni pingu, ni magereza ni minyororo shetani kawafunga kwenye dini hizi. Hamna msaada.
Kama Mungu aishivyo mkawe huru kwa Jina lake Yesu
mkuu umeoa una mke?
Nenda kagawe huko, na ulee watoto wakoMke na watoto wawil ninao ndoa ina miaka 5 na nina miaka 37. Nna degree ya Ugavi na nimeokoka nampenda Yesu
Fyokooo..!!!
Ishia hapo hapoYesu alichapwa hadi mijeredi mkuu na mate juu, makofi pia wala usijar Neema ya Mungu yani tosha. Lakini Mungu aliyeniokoa mimi basi kwa upendo wake akusaidie na wewe. Akipenda haya asipopenda sawa pia hatumpangii
Nenda kagawe huko, na ulee watoto wako
Ishia hapo hapo
Haya kaa hapo endelea kuhubiriWengine wana sema niende Jukwaa la Dini. Nami nawauliza. MUNGU DINI GANI? ukipata jibu kaa nalo uwe na hakika sijaingia bahati mbaya.
Safi, weka namba ya mkeo hapa tukuprove wrong.Mke na watoto wawil ninao ndoa ina miaka 5 na nina miaka 37. Nna degree ya Ugavi na nimeokoka nampenda Yesu
Kama mtu unayenilazimisha kuyafuata uyatakayoUkiwa kama Nan
Safi, weka namba ya mkeo hapa tukuprove wrong.
Kama mtu unayenilazimisha kuyafuata uyatako
KWani wewe nawe si utahukumiwa kwa matendo yako..!!!Kazi yangu ni pamoja na hii nayoifaanya mkuu. Nalipwa na Yesu ulinzi, uzima,hakuna ajar, hakuna magonjwa. Naskia hata mnaulizana habari za kutumia kinga kondom katika kujamiiana mnaogopa KUFA[emoji16][emoji16][emoji16] mmekwisha kufa kiroho Nipo hapa kuwapa Neema itakayowafufua ndicho kilichomleta Yesu duniani nami niliye mjoli wake sitishwi na sauti za kunikemea bali ndo kwanza Sijaanza yaan namtafuta Mtu mmoja tu ambae atakutana na Bwana wangu. Yesu Kristo, Mungu mwenye nguvu na Baba wa Milele si tulia. Bado sana Nipo si hukumu mtu mimi bali nahubir injil wewe utahukumiwa na matendo yako mwenyewe
Saa tisa usiku nipo room hotel flani mjini , Demu kakosea room kagonga kwangu, nashtuka sio kawaida, nani huyu ? Anagonga tena, nafungua mlango haaa.. mtoto mkali na kataulo tu.. akasema sorry nimekosea room.. ile narudisha mlango akaita "kaka, naogopa kulala peke yangu" .. naomba nikae hapo kwako, nikaogopa kwanza, nikamuuliza room number yake nikaenda prove kweli yupo alone, nikamuambia poa, karibu hadi kwenye makochi na mie kitandani mtoto akaanza zunguka bafuni nisije kuwa na mtu cheki cheki .. ananiuliza maswali kibao kama mpelelezi vile najibu hili linakuja hili, maana pale nilikuwa nimekaa karibia mieizi sita kwa ajiri ya kikazi.. haraka haraka nikawaza huyu asije kuwa anafatilia nyendo zangu alafu leo nikauza mechi kizembe zembe , kwanza kwanini asiende kwenye vyumba vingine kaja straigh kwangu ? na kutoka kwake hadi kwangu kuna vyumba katik kati hapoa karibua vinne na ni umbali kama wa second 30 kutoka kwake kuja kwangu, akili ikaanza kuwaza hakai kwenye makochi haji kitandani anakagua tu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] nikasema mwamba nimekosea mahesabu nimevunja mwiko