Sisi wanawake wengi huwa tunatumia hisia, hatutumii akili...mwanamke akirahisisha ,harakati zako za kula tunda, ata iwe baada ya siku 1 ,au baada ya mwaka. Ujue yeye ametaka. Mwanamke kama hakupendi unaweza tumia mbinu zote na hulipati. Labda umbake
Hii ni kweli haswa wale wanaojisifu nimekulammtu mzima na mimi ni bwana mdogo
 
Best umejua kunisumbua akili wewe, hii story naiwekea lamination tamu mno
 
Weka kofuli la pili funguo za zamani hazifungui kofuli jipya nione yaliyomo
 
Naweka dot
 
Damn[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa alizingua,nyie wanawake hamtakiwi mpewe muda wa kujiuliza,mkijiuliza lazma mtagoma,alivyokuhug angeendeleza ukorof angekukula[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jamaa alizingua,nyie wanawake hamtakiwi mpewe muda wa kujiuliza,mkijiuliza lazma mtagoma,alivyokuhug angeendeleza ukorof angekukula[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alitakiwa fasta apime oil
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…