safi sana mkuu
naona unaipigia promo blog yako🤣🤣
 
Mie mwanaume hata amiliki nini,wala sishtuki no shobo,,,,,wananiambia naringa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi inakuwaje mwanamke unajidhalilisha hivi khaa!!!

Yaani jitu linishike mkono naliangalia tu???? Loooh ningelipea bao hiol la mwana ukome,.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea na mtu, kuna mwingne ukimuona utatamani wewe mwenyewe umshike mkono uongoze njia ya machinjioni.
 
Ukumbuke ni msheria huyo, na namba yako anayo. Atakushitaki na kukuhukumu mwenyewe!
 
Ukumbuke ni msheria huyo, na namba yako anayo. Atakushitaki na kukuhukumu mwenyewe!
Na ndio maana nilishindwa kuendelea maana nilijaribu kuweka codes za kutosha ila nikaona ule mwanzo umeelezea tukio husika hivyo ingekuwa rahisi kusanuka, kwa maslahi mapana na ethics za kimasihara nikaachana nao.
Tuendelee na kimasihara,

Labda niulize swali la kizushi ni nani anawafanyia ufirauni hadi ile jamii ya yellow subhai

[emoji16][emoji16] hadi wanawake wa yellow subhai mvaa shuka kabisa wahuni mshaharibu 0715 [emoji16][emoji16][emoji119][emoji119].

Hamfai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…