Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Na ndio maana nilishindwa kuendelea maana nilijaribu kuweka codes za kutosha ila nikaona ule mwanzo umeelezea tukio husika hivyo ingekuwa rahisi kusanuka, kwa maslahi mapana na ethics za kimasihara nikaachana nao.
Tuendelee na kimasihara,

Labda niulize swali la kizushi ni nani anawafanyia ufirauni hadi ile jamii ya yellow subhai

[emoji16][emoji16] hadi wanawake wa yellow subhai mvaa shuka kabisa wahuni mshaharibu 0715 [emoji16][emoji16][emoji119][emoji119].

Hamfai
Hilo swali lako hata sijui jibu lake. Sio wanaume wa jamii yao? Au hawana hizo?
 
Ni Jana tuu npo kweny basi natok mby kuchkua chet, Mara nikawa naikagua kagua blog yangu brieflyhow.com
Bas kweny sit nlbahtik kukaa na kadem kamoj kakawaid sikakawa kanazoom screen yang bas nkajiongza nkaend kweny about page Kule Kuna pich yang sikakaion kakaniulz Kwan iyo blog Ni yako nikajib ndyo bi yang katk style Fulani ya kutokujal Mara kakanip hongra kakiwa Kama kananikubal ivi . Bas story zikaanzia mara stor 2 3 nkaingizia utan wa hap n pale ..... Nkagndua Kama kapo kweny bajet halaf gar infik usiku bas mzee njakaalik guest japo nlkuwa nmfika nkalpia chmb na kukdangny kuwa na mm sijfik bado ebwana ee usiku Sasa kiulain kakanip vuwil na asubuh nkapig kimoj kakaondk nkakaongzea na ya kula njian.
[emoji2][emoji2] ukaona uipigie chapuo blog ipate visitors
 
Back
Top Bottom