Hii movie nishawahi kuiangalia
 
Ni Jana tuu npo kweny basi natok mby kuchkua chet, Mara nikawa naikagua kagua blog yangu inayoend kwa jina x
Bas kweny sit nlbahtik kukaa na kadem kamoj kakawaid sikakawa kanazoom screen yang bas nkajiongza nkaend kweny about page Kule Kuna pich yang sikakaion kakaniulz Kwan iyo blog Ni yako nikajib ndyo bi yang katk style Fulani ya kutokujal Mara kakanip hongra kakiwa Kama kananikubal ivi . Bas story zikaanzia mara stor 2 3 nkaingizia utan wa hap n pale ..... Nkagndua Kama kapo kweny bajet halaf gar infik usiku bas mzee njakaalik guest japo nlkuwa nmfika nkalpia chmb na kukdangny kuwa na mm sijfik bado ebwana ee usiku Sasa kiulain kakanip vuwil na asubuh nkapig kimoj kakaondk nkakaongzea na ya kula njian.
 
Mmmmh story haileweki mbele wala nyuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mambo ya mufindi
 
Hivi inakuwaje mwanamke unajidhalilisha hivi khaa!!!

Yaani jitu linishike mkono naliangalia tu???? Loooh ningelipea bao hiol la mwana ukome,.

Sent using Jamii Forums mobile app

Inategema ntu na ntu...

Ndio maana ikawa kimasihara... Kuna zingine mission zinakua failed, tunaishia kutukanwa ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…