Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Kuna wale walinzi kweny mwendo kasi

Nimefika nimekaa sana kusubir mwendo kasi za mwenge maana zipo chache piga dana story mtto amevaa kiafande alafu mkali nikamsifia sana akaniambia kafunga nikamtoa buku mbili ya kufuturia nikamuomba namba akaogopa kushika simu yangu kaingia kweny vile vyumba vyao kaja kaichora kweny tiket chakavu mwendo kasi inakuja napanda tunaagana kwa tabasamu

Wiki hii nitaleta kisa kamili sasa nipo kwenye fainali[emoji28][emoji28] aseeh ukiwa mcheshi raha sana nikama kumsukuma mlevi
Mwendokasi inafika mwenge siku hizi? Sijaja mjini siku nyingi nifahamishwe tafadhali
 
Makuruta washahamaa nchiiii au??
Kuna afande alikuwa anaitwa Kessy wa F coy Yule aliyejimwagia ndoo ya maji, kuna afande alikuwa anaitwa Chuga alikuwa kule shambani kwa msanga yaani usiporudi na kuni anakukamata pale shuleni,
Kuna kiafande kilikuwa kinaitwa Mlozi cha E coy kilikuwa kina Mambo ya hovyo sana.
Kuna Mzee mmoja alikuwa Ni staff sajenti jicho lake moja kama halioni vizuri hivi alikuwa anatoa doso hatari pale getini.
Wapiiii afande kayange mwenye mapengooooooo haaahaaaa.
Wapi RSM MATANDA Mzee wa ng'ombe wa mayai.
Wapiiii RSM kikotiiiiiii mzee wa makamanda makamandaaaaaa haaahaaaa
835KJ, mgamboooo
 
Hivi RSM Matanda bado yupo pale?

Tumeyafaidi sana yale machungwa...

Ule mlima ukivuka shule kama unaenda kwa Msanga ni hatari sana aisee...

Miaka mingi hadi nilishasahau baadhi ya majina.
 
Mwanamke mzuri alikuwa ni MP alafu alikuwa analiwa na mshikaji flani wa kujitolea ambaye alikuwa doja maarufu

Maluten wote wa kike walikuwa na sura ngumu.

Kuna jamaa kipindi cha uzalendo alikuwa anavaa kiraia anapiga story na kuruti asubuhi hadi jioni lakini aiku tunafungua mafunzo nkamuona katupia sare kama za magereza ana minyota sijui zile sare ni za jeshi gani
 
Wakuu ni uzi gani mpya ambao upo spidi Sana kwasasa ukiacha ule wa russia vs ukraine
 
Kweli wanawake vichwa maji.

Kuna mama aged 45 + ana watoto 2, mke wa ndoa kabisa.
Nimejaribu kutekenya imo, sasa hapa naitwa baby kila saa natafuta nafasi tu ya kumpa mambo.Promise nyingi sana nampa nimeona amesha data kabisa.

Nb
Nilikuwa natest mitambo kuona kama naweza chapa mke wa ndoa ya mtu.Wanaume tuleee wake zetu manina.
 
Back
Top Bottom