Saa moja na nusu shughuli za ubarikio zimekamilika,nawasha gari kuelekea home mara dirishani mwa gari upande wa kushoto kana gonga kabinti ka mtaa wa chini na wadogo zake wa tatu wanaomba ni wasogeze...
katafute tena, mrudie game vizuri
 
Inahusiana vipi na kimasikhara?
 
Wkt unakula andaa na mafuta yako kbsa ya kula
 
Nakumbuka nilialikwa na Shirika Moja lisilo la Kiserikali (NGO), linalo jishughulisha na mambo ya watoto walio ktk mazingira hatarishi, mkoa fulani, kutoa mafunzo! Waliniandalia chumba cha kulala gorofani ktk ofisi zao. Chakula cha mchana pamoja na kifungua kinywa tulikuwa tunapata pamoja na washiriki wa mafunzo. Chakula cha usiku nilikuwa naenda kutafuta mwenyewe. Siku isiyo na jina, baada ya kutoka kumwagilia moyo (kupata Windhoek beer kadhaa) mida ya saa nne na nusu usiku hivi, nilichukua tax ikanirudisha nilipofikia. Ile napanda ngazi kuingia chumbani, nikamkuta mlinzi wa kike (security guard) kakaa chini ya ngazi! Alikuwa mzuri kiasi na mavazi ya ya ulinzi ya kampuni yake yalimkaa vema! Shetani aliniingia nikaona si vema kumuacha! Nikamtania hapo kwa muda kidogo nikamuomba anisindikize chumbani. Alikataa kwa sababu yuko lindoni. Nilimshika, nikamvutia kifuani kwangu akaja mzima mzima nikaanza kumchezea kwa kunshika shika viungo vyake na kisha kupata denda. Alitoa ushirikiano wote. Aligoma kunipa tunda usiku huo kwa ahadi kuwa atakuja chumbani asubuhi saa kumi na mbili! Na kweli asubuhi niligongewa mlango na nikajilia matunda ya nchi! Hakika ni kati ya wanawake wanaojua kazi ya kitanda!
 
Mkuu, hizo ofisi hazikuwa na kamera?
 
Umedhalilisha utu wako kwa kuendekeza utelezi kwa taarifa yako ofisi zina camera za kiusalama na ulionwa vilivyo na wahusika mihimu wote
Ndo maana a hujaitwa tena kutoa semina kama ile
Aibu sana ungechukua namba za simu tu uimbishe mkiwa mbali kwa mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…