🤣🤣🤣🤣🤣 zenji mtandao pendwa ndio sana kama sio muoaji
 
yes chukua namba uwe unaomba friend match
 
Duh kesho naenda kutafuna mtoto nilomsotsa toka jan, yaan kwanza nlimwogopa kumtongoza sababu ni mrembo kupitiliza, nikajitoa ufaham nikaombanamba nikapatiwa ila baada ya kuisotea. Nikamwingizia vocal akaruka mbali, basi nikaanza kumchatisha ukiandika sms anajibu baada ya siku mbili, sikuchoka baadae akawa anajibu mapema na sasa hata ananiulizia nikowapi endapo sitaonekana job maana tupo wote mahali mm nikiwa staff na yeye sio staff but we do kitu kimoja nimeficha hapa details ili nisiharibu
So wiki alopita nlipewa appointment kesho na leo nimechat naye so kesho saa nne nitakuwa nakula utelezi
 
Hapo hujapewa ushaanza kutusimulia na ukipewa je?
 
Hii sio kimasihara kabisa ila n ww ulitaka kuonekana upo
 
Hongera mwamba kwa kutupumzisha kidogo na hadithi za makuruta.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mambo yamekuwa marahisi mno miaka hii!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…