Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,009
- 134,215
Ngoja kwanza, kama chai..au basiJamaa alimtia mimba dem wake wakiwa kidsto cha pili, baada ya kumaliza shule jamaa akaamua kuoa kabisa huyo mwanamke.
Kumbe mimba haikuwa yake ila alishikishwa. Basi wameishi wakazaa watoto wengine wanne na mschana jamaa akamlea kwa upendo akijua ni mwanae
Miaka imeenda bwana maugomvi na kutoelewana yakawa mengi na mama ikabidi amchane mshkaji kuwa firs born wao sio mtoto wa kuzaa wa baba huy ana bana yake. Jamaa alikuwa na hisia hizo toka binti akiwa mdogo ila alipotezea.
Mama akampa pia habari binri yake so binti alichukia sana na jamaa alichukia sana, rhen bint na jamaa wakawa kitj kimoja kumteta mama. Jamaa akazidisha upendo kwa binti na hatimae wakawa wapenzi.
Baada ya muda mama akafukuzwa na binti akaolewa na na mshikaji hadi leo wana watoto watatu. Mama anahaha tu mtaani




Aha vingine sikulaaa wakuu.
