😂 Nishajua ni mkoa gani na hapo usiku mlienda sehemu gani.
Hongera sana kwa uvumilivu. Ila nakuhakikishia kausafiri ndiko kaliko kurahisishia kazi vinginevyo usingepata kitu.😄
😅 nikweli bila ndinga ningeishia kula kwa macho, hivi viumbe sometimes havitumii akili... Hata kama na yeye ana ndinga ila akikuona unayo pia hata ukiokota Corolla Plate Namba A unawala 😅
 
Jamaa amekula matunda aliyo palilia mwenyewe.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kitaa wanakuona mkimya .....kumbe we ndo diamond wa JF[emoji23][emoji23]
 
Hii ni chai. Tena bongo muvi naikumbuka
 
sasa mbona imekua rahisi kupt utamu
 
daaaah😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu hebu nipe link ya ule uzi wako THIS IS MY STORY,huwa naupenda sana kiongozi
 
Ukipata nitag mkuu hope namim ntainjoi
 
Duh!!!,hii hatari.
 
Hiyo ndio komesha mapinduzi Yenye kisasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…