Daah! Shule zimefungwa?
 
Kweli Jf never bores

Kwa hiyo hapo na ww umetunukiwa kimasihara??......kesho uje utueleze unetobolewa Savannah ngap plus hela ya lodge na ya Huduma

NB:hawa wazoefu wanakuwaga na vipimo vyao so anaweza akakuchaji pia au akakukaushia
 
Nenda peleka script kwa akina Steve Nyerere
 
Usiwe mjinga. Malaya huyo alikuwa anatafuta mtu. Wala hakupoteza simu. Alitaka tu kukupa namba yake ili uanzie hapo... Unawezakuta leo tu kawapa wanaume 5 (wewe wa 6) namba yake ya simu kwa mtindo huo huo.
 
Wakati mwingine kuwa makini sana. Usipende sana kuwapa watu watumie simu yako kupiga mahali usipopajua, nakutahadharisha!

Alafu jifunze kutongoza vizuri, achana na ujinga wa nilikupa support naomba na wewe unipe support
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…