Unamsafirisha demu wako unapokuwa na safari kikazi
Baada ya kufanya mkabakiza kondomu 2[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
kuna dada huyu alikuwa anatembea maeneo ya ubungo kabla barabara hazijaharibiwa. Bwana ee yule dada akateleza si akaangukia dushe kwa bahati mbaya bila kutegemea sasa hivi analea mtoto ambaye hana baba
 
Kuna afande alikuwa anaitwa Kessy wa F coy Yule aliyejimwagia ndoo ya maji, kuna afande alikuwa anaitwa Chuga alikuwa kule shambani kwa msanga yaani usiporudi na kuni anakukamata pale shuleni,
Kuna kiafande kilikuwa kinaitwa Mlozi cha E coy kilikuwa kina Mambo ya hovyo sana.
Kuna Mzee mmoja alikuwa Ni staff sajenti jicho lake moja kama halioni vizuri hivi alikuwa anatoa doso hatari pale getini.
 
tuwasaidiaje sasa na hao maafande wenu?
 
kuna dada huyu alikuwa anatembea maeneo ya ubungo kabla barabara hazijaharibiwa. Bwana ee yule dada akateleza si akaangukia dushe kwa bahati mbaya bila kutegemea sasa hivi analea mtoto ambaye hana baba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa hii ni kimasihara promax
 
Huyo afande nilikuwa namsikiaga tu habari zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…