Hii naona itakuwa chai ya mwezi watatu
 
Dahh au tuite huu ni uji[emoji23][emoji23]
 
Huu uji sasa

Sent from my IN2023 using JamiiForums mobile app
 
Aisee
 
Na pia Hana hela, gari Wala pamba Kali asa unategemea asiseme chai[emoji23][emoji23]
Jobless wa JF mnashida sana, kwahiyo wewe kwaakili zako fupi unaona storybza humu zote ni ukweli??

Humu kuna story wala hazihitaji akili kujua kama ni CHAI, ila kwasababu unatumia m*tako kufikiri hauwezi kuelewa.
 
Mkuu huo uongo ni upi?

Kuna dada mmoja wa duka la dawa mzuri sana namlia taiming, sema karibu na duka lake kuba boda boda wanapaki alafu kuna watu huwa wanamtamani kiasi kwamba hua hatoi namba kabisaa,
Ulizia kitu ambacho una uhakika hakipo dukani kwake halafu muachie namba kama kikipatikana akufahamishe au akufahamishe kinapouzwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…