Hapa Mrembo alinipata Kimasihara

Weekend moja hivi nipo mtaani na gari ya kazini nikiweka mambo sawa. Akaja mrembo wa age above 30 hivi. Akanisalimia na samahani kuhusu shida yake. Basi nikamsikiliza vizuri sana nikampa namba zangu anipigie siku ya kazi.
Next week akanipigia na shida yake ikaisha vizuri kabisa.
Week inayofuata baada ya kazi yake kuisha akanipigia simu ilikuwa weekend.
Boss habari, nzuri samahani naongea na nani? Mie fulani hujasev namba yangu.. oh sikusevu sorry, ok haina shida upo wapi.. nipo ofisini, duh mpaka weekend, ndio, unamaliza saa ngapi? Namaliza muda si mrefu... ok ukimaliza nipigie.
Baada ya nusu saa nikampigia tukapanga tuonane sehemu fulani.
Basi tukaonana baada ya story kibao nikaomba nichukue room.
Mwanamke romantic sana na ni Boss ofisi fulani. Yaani unaenda kula mtu huku mmeongozana kila mtu na gari yake na yake kali kuliko yangu. Siku ya kwanza ametumia takribani 90k room plus msosi na akalipa yeye. Ana mgogoro sana na mshikaji wake na anatafuta pakutuliza nafsi.
Masikhara Mengine noma sana.[emoji39]
 
Tatizo umeandika haraka haraka
 
Hiyo bar kama sio shetembaa basi itakuwa cheers
 
Dv8 imefungwa ukija mza tafuta chaka jipya
 
Unakimbilia wapi Mkuu, Relax kunywa maji ya kutosha , uje utuchambulie vizuri mchakato mzima ulivyoenda mpaka point ya kumla. Sorry lakini
 
Lete mkanda mzima.
Kitoto cha Jezebeli kimeleta kompyuta kwa ajili ya matengenezo [emoji3] halafu hakina hela ya kunipa [emoji3] nimeongea nacho Kama utani kinipatie game Mara naona mtu anampigia roommate wake anampa taarifa kuwa hatorudi home ameenda kumsalimia rafiki yake ni mgonjwa huko Kibaha [emoji123] Mimi nimejiongeza mdogo mdogo nikaongeza maji ya ugali [emoji3] Yaani kumbe kimebeba chupi na nguo za kubadilisha kabsa [emoji87] Hawa wadada mwaka wa kwanza wanalika balaa wakuu [emoji3] Nimeanza mwaka vyema sana wakuu [emoji3577]
 
Mkuu natafuta ofisi maeneo karibu na chuo au hostel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…