Wakuu niaje,
Ngoja leo niwape kisa changu wakati naishi Mwanza. Nimeona wadau 2 hapo juu wananikumbusha maeneo ya Nundu na Buzuruga nikakumbuka tukio moja la kishujaa nililolifanya huko Mwanza 2016.
DISCLAIMER:
Hii sio kula kimasihara.
Nilikua nafanya kazi za sales jijini Mwanza. Kampuni ilikua inatupatia karibia kati ya 20 hadi 50 daily ya usafiri kutembelea client (s) (kipindi kile Mwanza kuna nauli za tax mpaka sh elfu 5). Sasa katika kubana matumizi nipate japo ya maji mara nyingi nilikua napanda daladala kama haiathiri nnapokwenda au nikiwa narudi.
Siku hiyo nipo pale Mecco Nyakato nimepanda Hiace ya Bwiru, narudi ofisini town. Nimekaa siti ya kwanza tu ukiingia kwenye hiace ambayo mara nyingi konda hukaa kama hakuna abiria. Daladala ikawa imejaa. Akaingia mtoto mmoja kwa umri ni mdogo kama 18 to 22, hazidi hapo, akasimama mbele yangu. Mtoto ni mkali kinyama. Nikawaza huyu nampataje japo nipige story naye? Mpaka tunafika Buzuruga sijajua nini cha kufanya, baadae nikawaza nishuke atakaposhuka. Tulipofika Mabatini ndio nikapata solution ambayo hata hivyo ilikua very risk-but I did it, anyway. Ndio kitu nilichofikiria, kama ifuatavyo:-
Alikua ana mkoba ameubeba (wakike) na hajafunga zipu ya juu. Mimi nina kalamu na diary yangu. Nikachana kipande cha karatasi na nikaandika PLS NIPIGIE 075X XXX XXX, nikakidumbukiza kwenye ule mkoba. Nilifanya tukio hili kwa siri asinione mtu. Mawazo yakawa mengi sana, kikipotea kitu nami namba zangu ziko mle si ntaonekana mwizi? Lakini nikapiga moyo konde. Uchawi hauendi kwa mentali.
Siku ya 3 napigiwa simu na namba ngeni. Mtoto akajitambulisha, akasema kaona karatasi yenye namba kwenye mkoba wake. Sasa haelewi what is going on. Nikamwambia usiwe na wasi wasi, naomba tuonane.
Meeting point ikapangwa pale pale Mecco kituo cha daladala kuna bar kwenye kona pale, hata jina siikumbuki. Nimetoka kazini 5pm nikatimba, nafika pale simuoni. Nikapiga simu akapokea bint mwingine kabisa huku namuona akipokea, tofauti na ile kazi niliyoiona juzi.Pozi zikaniisha.
Lakini nikamfata alipo. Ni mwembamba, mrefu ana kishundu hatari, nilikiona wakati amesimama kunikaribisha kitini, cha zaidi ana sura nzuri japo hafikii ile kazi ya juzi. Ile ina sura, bantu figure na mipaja imenona. Anaonekana ni mkubwa kidogo kwa yule wa juzi lakini hazidi 25 y/o.
Nikajitambulisha, nikaagiza kinywaji na baadae nikampa kisa changu cha kuweka namba kwenye handbag, na nikamweleza kuwa yeye sio yule wa juzi. Akacheka, akasema yes, yeye sio yule wa juzi....yule ni mdogo wake! Na kwamba aliazima mkoba aende nao town. Yeye ndio mwenye mkoba na alipokuwa anausafisha ndo ameona kile kikatarasi.
Moyoni nikajisemea mchagua jembe si mkulima. Kwa heshima alonipa huyu ya kuja hapa, napita naye huyu huyu. Huyo dogo ndio keshapona hivyo. Ikabidi nimueleze kuwa japo wewe mlengwa lakini tunaweza fanya kitu pia. Liwalo na liwale. Akikataa hakuna ntakachopoteza.
Demu akasema hakuna shida as long as ibaki kuwa siri yetu.
Nikamla siku ya kwanza (sio ile first date). Siku moja alikua anapita getini kwangu, ile mi natoka nikakutana naye, ilikua Jumapili. Nikamvuta ndani aje apajue ninapoishi. Nikafika naye mpaka chumbani. Ndom sina, akagoma kutoa mzigo. Nikamwambia ngoja niende pharmacy, akagoma kabisa "Kama huna condom basi umekosa kutom..a"
Hatukuwahi kuendelea tena. . Alikua ananihoji daily kwanini sioi na ndani nina kila kitu, maana nlikua nakaa nyumba nzima ya vyumba 3, sebule imejaa, jikoni kuko full, chumba kimoja tu ndio kilikua hakina vitu.Tukaachana kiaina kwa sababu alidhani nina mke namficha, akawa ananiogopa.