Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,732
- 6,631
Inzi kufia kwenye kidonda sio haramuMiaka 30
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Inzi kufia kwenye kidonda sio haramuMiaka 30
Dah mie mvivu sana wakuandika story ndefu.Unakimbilia wapi Mkuu, Relax kunywa maji ya kutosha , uje utuchambulie vizuri mchakato mzima ulivyoenda mpaka point ya kumla. Sorry lakini
We kula tu mkuu maana umetoa hela nyingi sio bure.Wakuu [emoji3] Jana nimekula Tena tunda la mtoto wa UDSM [emoji3] Hawa dada zetu ni majanga hatari [emoji87]
Luchelele Mzunguko fanya kuchukua hao wa hapo SAUT [emoji3]We kula tu mkuu maana umetoa hela nyingi sio bure.
pamojaThe cask, Bundesliga
Nilisema kuna siku nitaleta story ya mke wa staff wa TRA. Uwa naandika hii kimasihara halafu nafuta sikuwahi kufikiria kula mke wa mtu Mungu anisamehe.Hahaha share tu mkuu,we do make mistake(s) as a human beings
Iyee ni la kayaWe binti hili jina ni LA nyumbani kabisa tujuane
Hapana. Shetembaa si mlimani pale karibia na darajani. Mi nazungumzia kona pale pale, nadhani ni cheers. Kama unapandisha, unaivuka toroka uje (chipsi) sijui kama bado ipo hiyo toroka uje.Hiyo bar kama sio shetembaa basi itakuwa cheers
Pamoja mkuu, ingawa nahisi umenitag kunikumbusha nilete story zanguHiyo story nitaendelea kesho mapema. Mazingira nilipo siyo rafiki
Hapana. Shetembaa si mlimani pale karibia na darajani. Mi nazungumzia kona pale pale, nadhani ni cheers. Kama unapandisha, unaivuka toroka uje (chipsi) sijui kama bado ipo hiyo toroka uje.
Sema nipo na kazi sana mkuu hafu Nisha achana na mambo za kukimbizana na awa mabinti nikujipa stress tu mkuu, hao tunawala sana pale Nyegezi kwenye danguro wakicharara uwa wanakuja pale kuuza[emoji39]Luchelele Mzunguko fanya kuchukua hao wa hapo SAUT [emoji3]
Sema nipo bize na kazi sana mkuu hafu Nisha achana na mambo za kukimbizana na awa mabinti nikujipa stress tu mkuu, hao tunawala sana pale Nyegezi kwenye danguro wakicharara uwa wanakuja pale kuuza[emoji39]
Kuandika vp sas mbona mwana ameflow fresh tu me naona.Aaaaah umetisha sana mwana sema tatizo kuandika mzee,,, siku ingine andika vizuri
Ulimwagia ndani mzee?Booooh boooh yani kiulaini sanaa huu uzi unatibu malazi mengi sana kwa hiyo dawa iongezeke
Baada ya kumaliza chuo nilipata kazi wilaya fulani morogoro uko ndanii sana kwanza nilipofika sikuamini kama kule ni moro ,nilijua dar moro karibu alafu weekend bata batani dsm weeh nilichoka kwanza ilichukua masaa 12 kufika tuuh ,yani nilitamani nilie mazingira ovyoo sana alafu ilikuwa masika barabara mbovuu kishenzi
Kesho nikaripoti job kishingo upande sana ,wakanionesha mazingira kwa kuwa nilifikia guest ,kuna jamaa akaniambia tukakae geto kwangu kwanza kipindi unacheki mazingira ya kupata nyumba daah nikasema poa tulivyotoka job tukaenda mpka alipokuwa anaishi nikaoga nin jioni misele kama kawaida kitaa lakin mazingira ovyoo ayakunishawishi kabisa
Weekend mi uwa napenda kutoka yani club kama kawa si unajua ukizoea mambo ya chuo nin mitoko kama kawa ,akanipeleka pande fulani bush bush madem ovyoo niliboreka saa 5 tukarudi geto yani nilikonda kishenzi .Ikapita miezi kadhaa nikanunua vitu nikaamia kwangu na kazi ikawa inaendelea
Kuna siku moja mchana nikaenda bank kucheki salary mdogo mdogo sina habari mala napigwa bonge la ngumi la mgongo mmamae nilimind kugeuka nijibu mapigo kucheki kumbe mdada, ila anaonekana kama chizi chizi na gunia lake alafu ana fimbo sasa nikasimama saa ngapi fimbo ilo nikatoka nduki nikaingia bank kwa kuwa haikuwa mbali na pale bank.Nikaingia bank nikacheki balance zangu nikasepa sasa natoka askari akaniambia yule kichaa anakusubiria pale pita kwa uku mkwepe mhmh nikamjibu hapana ngoja nimpe chochote labda anashida .Kweli nafika pale nikatoa noti ya elfu 10 nikampa alifurahi aliruka ruka kagala gala mi nikasepa zangu
Sasa nikajiuliza uyu kichaa niaje mbona ana cheza pale karibu na bank na awamfukuzi aaah buushit nikapotezea .Bana bana toka siku ile akiniona ananikimbilia mpaka uwa namkwepa ,kuna siku tunapita na mshikaji usiku saa 2 kakusanya kuni kawasha moto nikajificha kwa mshikaji saa ngapi asinione alinirukia akatoa ndizi mfukon akanipa , nikampa elf 2 alifurah sis tukasepa njiani mi nikamenya ile ndizi nakula mshkaji alicheka yani we unakula uchafu uyo anaokota dampo kule mi nakutana nae kila siku .Tukaachana mi nikaenda home ,kumbe bana yule kichaa anatufata nyuma nyuma akajua napoishi sas ndio ilikuwa kero nikiludi job yupo nje ya getin ananiita mpenz wangu mwaaah anakimbia.
Weekend moja tukaenda bush part na jamaa angu kulikuwa na kipaimara alialikwa,tulipiga pombe sana dadeki niko chakari sanaa kufika saa 7 nikamwambia aisee jomba twende hom .Kule job kuna mdada nilikuwa namind sema akawa analeta mizinguo ooh mpaka unioe alikuwa anakujaga hom mala moja moja .Ile tunaludi mshikaji akaniambia leo umelewa sana aisee mpaka unayumba utafika hom kweli , nikamjibu nifikishe mpaka pale kwenye njia ya hom alafu we uludi , jamaa akanifikisha pale mi mdogo mdogo mala nashikwa mkono mpenzi wangu kugeuka yule kichaa, nikajikwaa nataka kuanguka akanidaka uku namsikia kwa mbali leo una nin mpenz jamani akanikokota mpaka hom nikafungua mlango yey akabaki nje uku mlango sijafunga mi kwenye kochi tiii .Sasa nikastuka nikaenda kufunga mlango nikamkuta akaniambia unanifungia mpenzi sasa na pombe nikamwambia ingia.Mala nikapepesuka nikampalamia wote chini ,ile chini pale joto joto la mwili tukagusana nikaona alaah na tungi mmboo hiyo nikamgusa chuchu ana cheka cheka tuuh nikapandisha gauni juu alafu lilikuwa chafu kishenzi navuta chupi akanishika mkono mhmh mhmh usifanye hivyo ,mi nikaendelea tukavutana nika win chupi kulee sas akabana mapaja nilishangaa alikuwa na nguvu sana ,si unajua wa jando tunajua wapi pakugusa mapaja yaachie akaguswa sehem 3 ngumu napanua tena nikakuta pwaaa mi uyo alikuwa na vvuzi dadeki ila nikapeleka mmboo ikakubali aisee kchaa kilitulia mbona
Dadeki alinikaba shingoni kwa nguvu mpaka pombe iliniisha ,baadae akatulia na mim nikajikamua lile bao lilikuwa zitoo sana nilihema ile naegemea kochi usingizi pale pale .Nastuka asubuhi lile dem la job linaniita nacheki pembeni hamna mtu kumbukumbu zina nijia dadeki nilijutia nikawaza uyu dem akumwona kweli .Nikaeka mazingira fresh lile dem likaingia tukapiga story mpaka mchana akasepa .Juma3 job jamaa akanivuta pembeni akasema jana umefanyaje sas nauliza kwa nin ,akajibu nanii kamwambia dem wangu, kafika kwako kamkuta yule kichaa ana toka ndani kwako alafu kavaa shati lako
Iliniuma kwa sababu ilienea sana kazini yani niloona bonge la noma ,Ila nikajiuliza maana machache nakumbuka alivaa chupi alafu ndani akuwa ovyo kama nilivyofikiria .Ikapita wiki 3 jamaa akaniambia mbona yule chizi simuoni tena shem wangu yule nilimind sema utani nin.Nikamwambia lakini mtam yani jamaa akasema tukitoka twende tukamcheki ,tulivyofika pale hamna uchafu wala nin tukawauliza wale maaskari wakasema ana karibia mwezi hawajamuona tena pale.
Wazee hii itaendelea.................. hofu itakuwa ndefu mnoo maana kuna kisa kingine mbelee yake xoooooo stay waiiiiiiiiit
Mr jjjjjjjj
Unawajua vijana ww[emoji28]Jasho la kutembea mchana kutwa kwenye jua kali af ukamlamba shingo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii sio chai kweli
Toka siku hiyo atoe ya kichaa, walimpoteza wasiojulikana hadi Leo ameacha historia tu humu, na Bado hajatokea mwenye Mikasa kama ya huyo mwamba. Uzi ulikuwa wa moto kipindi hicho aisee.Nitag mkuu kama ulisoma mwendelezo wa Juma Maharage
Mzee mara ya kwanza ulipiga show mbovu ndo maana ya pili alikukazia ila ungepiga show vizur angekuwa anakutafuta mwenyewe
Ngoja niwaletee hii
Ilikuwa 2017, mwaka wa pili chuo. Kipindi hicho ilikujiongezea kipato niliona fursa kwenye kuuza simu. Classmates wangu wengi walifahamu biashara niliyokuwa naifanya. Mmoja wa Classmate dada yake alikuwa anahitaji simu so akaniunganisha naye. Alikuwa anataka iphone 6+. Yule classmate akanipa contacts za dada yake tukawasiliana akaniambia kuwa hiyo simu anaitaka lakini mpaka mwisho wa mwezi. Baada ya hapo tulikuwa tunawasiliana kawaida tu kwa kweli yupo charming. Nakumbuka siku nipo tu chuo akanipigia simu na kuniambia kuwa tayari anayo hiyo hela lakini nimfanyie delivery kwake alikuwa anaishi Sinza kipindi hicho. Ila akaniambia kuanzia saa mbili ndio atakuwa nyumbani so akanielekeza vizuri tukakubaliana. Basi bwana mdogo nikafurahi sana kwa kuwa naenda kupata kahela kidogo kakuenjoy. Mida ilivyofika around saa moja hivi na madakika yake mengi nikampigia simu akaniambia yupo nyumbani naweza mpelekea. Kijana nikachukua boda mpaka sinza kizuri kwake hata kwa kuelekezwa tu unafika kirahisi. Nikafika kwake alikuwa amepanga sehemu flani imetulia alikuwa na sebule, kijiko kidogo ambacho ndio nilichoingilia mpaka sebuleni. Nilikuta kuna Chips yai na wine ( dompo) vilikuwa mezani . Basi nikakaa akanikaribisha ni nikamwambia nipo okay. Akanipa pole kwa kunitembeza usiku basi tukawa tunapiga stori mbili tatu hapo bado sijampatia simu yake. Sasa simu ikawa inaita room. Akaenda kuipokea. Nikawa nasikia kama anakwaruzana na mtu kwenye simu. Hasa nilisikia yeye akilalamika kuwa walikubaliana leo watoke so kichwani nikajua tu ni mtu wake. Alitoka room sura imebadilika kidogo. Akaketi ukimya ukatawala kidogo baadae akaniuliza wewe hutumii wine mimi nikamwambia hapa hiko kinywaji laini sana. Akacheka akaniambia sasa na umri wako huo unakunywa nini nikamwambia labda konyagi akaguna akasema basi ngoja nimwagize mtu akuletee nikamwambia awe na amini mimi nipo poa akesema hapana nimpe company. Basi akampigia mtu simu akamuugiza konyagi na kuniuuliza tena nakula nini safari hii hata sikukataa nikamwambia. Nikampa simu yake basi akafurahi kweli sasa nilikuwa nimeketi kwenye kochi jingine baada ya kuiangalia simu yake na kuiwasha akaniambia sasa naomba uset kila kitu. Mimi nikanyosha mkono ili anikabidhi akaniambia jamani kwani mimi nang'ata si uje hapa uiset huku mimi naona siku nyingine nifanye mwenyewe nikawa sina kipingamizi nikasogea mpaka alipokaa nikaanza kuiset. Sasa akaanza kulalamika jinsi bwana wake hana muda na yeye na kila wakipanga kutoka mara nyingi anazingua. Na mimi naweka maneno yangu hapo kama stori tu. Basi jamaa wa msosi akaja na msosi na konyagi yangu. Stori ziliendelee mimi na nakula na kunywa nyagi yangu yeye wine. Muda unazidi kusogea sasa mwenye nyagi imeanza kuingia kichwani na yeye wine imeanza kumkolea nakumbuka ilikuwa trace music alikuwa ameweka muda wote. Kusema ukweli huyu manzi alikuwa mkubwa kwangu ila alikuwa mzuri na kashape flani hivi. Mara akanyanyuka na kuanza kucheza mimi nimekaa tu napiga nyagi yangu asije kunikalia na kuanza kupiga mauno mtoto wa watu nikashikilia kiuno yeye anakikata. Nikaona usiwe tabu nikamgeuza nakuanza kumla mate ushirikiano kama wote chezea matiti sana kupima oil mtoto yupo wet balaa. Show ikaanzia hapohapo kwenye kochi the next thing tupo bed show ikaendelea ilikuwa ya muda mrefu na ilikuwa tamu sana wote tulikuwa tayari tulishachangamka. Asikwambie mtu hakuna show tamu kama ile wote mmelewa. Sitakuja kusahau ile show. Na ndo the only mchagga ambaye nilimla akasquirt. Alisquirt sana yule mdada ilitabidi mpaka tulibinue godoro upande mwingine na ulikuwa na wenyewe ulishaanza kuwa wet ila sio sana. Asubuhi kila mtu anamcheka mwenzake matani kama yote umewezaje kulala na dada yako😂😂. Basi vikaishia hapo. Hatukuendelea tena na huo mchezo alikuwa engaged. Na kwa kweli aliomba sana nisije kuropoka kwa ndugu yake
Nilikuja kujua anafanya kazi kwenye moja ya insurance companies kwa sababu aliniconnect kumuuzia simu bosi wake.
Ila wakuu sasa hivi huyu mdada ana mtoto mmoja wa umri wa kama miaka mitano hivi huyu mtoto anafanana sana na mimi hata ndugu yake my former Classmate ananiambiaga nafanana na mtoto wa dada yake niliyemuuzia simu. Kuna siku alikuwa amepost status ya family photo yake yeye mumewe na mtoto. Nikascreenshot nikamtumia tu dada angu mimi akaniuliza hao ni kina nani huyo dogo mmefanana naye sana. Na mpaka leo sijawahi muuliza muhusik