funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,650
- 21,485
Nilisema kuna siku nitaleta story ya mke wa staff wa TRA. Uwa naandika hii kimasihara halafu nafuta sikuwahi kufikiria kula mke wa mtu Mungu anisamehe.Hahaha share tu mkuu,we do make mistake(s) as a human beings
Siku moja mwaka jana 2021 nilipeleka gereji gari moja ndogo ilikaa sana bila kutumika so ilikufa AC na pia nikaenda kufanya normal services ili irudi kwenye mstari.
Nimefika gereji kwa fundi wangu Sinza namkuta yuko busy na Harrier matako ya nyani ya dada mmoja ana shepu la kuvunja chaga sura imeenda mileage kidogo ila mzuri na kapiga jeans t-shirt na miwani full tinted. Sikumjali kivile nikamweleza fundi matatizo ya gari akawaita vijana wake wakaanza kufungua mfumo wa kiyoyozi.
Wakati kazi inaendelea mie nikaenda kwenye benchi nikakaa na yule dada wakati magari yanatengenezwa
Tulisalimiana na kuendelea kuperuzi mitandao ya kijamii kila mtu na simu yake.
Muda umeenda nikamuuliza fundi chimbo niende kugonga kongoro, fundi bila shida akaniambia niende Corner Bar ndio kuna kongoro bora kabisa. Nikainuka kutaka kwenda kutafuta bajaji yule dada akaniomba twende wote kukill time. Nilistuka ila nikasema leo namla huyu
Tukaenda Corner Bar tukapata kongoro safi yule dada kwenye story akawa analalamika usiku wa jana yake alilala late sana walienda kwenye send off so akawa anasinzia sinzia. Nikamuuliza ulikunywa akasema yes alikunywa wine basi nikamshauri apige glass moja arudi kwenye mstari akakubali
Ile kunywa glass moja akachangamka na kuanza stori mara sijui mme wangu ananichunga sijui nini mie namcheki tu huku napiga maji kubwa. Baadae akaongeza glass ya pili akachangamka zaidi akawa kanizoea sana mara ooh me wine zinanipa nyege. Nikamwambia tukachukue room nikutoe hizo nyege. Akaniambia fundi si atastukia maana ni fundi wao wa familia miaka mingi na ni rafiki ya mme wake. Nikampanga kuwa hawezi kujua nikaita bajaji nikampeleka hotel moja ipo karibu na Lion inaitwa Mkomilo.
Tulipoingia demu akaingia bafuni kapiga maji kurudi kajifunga taulo anasikia baridi maana niliweka kiyoyozi chini kabisa hapo me nishasaula nguo mnara unasoma 5G. Yule manzi akatupa taulo kabaki kama alivyozaliwa akanivaa kitandani analalamika baridi. Nilimkubatia nikawa napitisha mkono mgongoni manzi full vipele vya baridi nilibambia kwa sana na madenda ya hapa na pale kisha nikapiga sana mashine peku piga bao la kwanza tuka break nikamuuliza kuhusu mme wake na familia akanipa mkanda mzima wa maisha yake akidai mmewe ana nyumba ndogo hivyo wanagombana mara kwa mara (ingawa nilihisi ni fix ya kujustify ujinga wake).
Baadae tukarudi ulingoni wakati natafuta bao la pili naona fundi ananipigia akauliza yule dada nimempeleka wapi gari yake tayari, nikamdanganya tuliachana kona bar alikutana na rafiki zake. Nikamfunga kamba me niko Mwenge napoteza muda. Fundi akaelewa akasema anamtafuta hapokei simu. Kucheki simu ya manzi kuna missed call kama 10 hivi za fundi alikuwa ameweka silent.
Tukamalizia bao la pili tukapiga maji kila mtu akaondoka kivyake. Demu akaenda gereji mie nikazuga kitaa kama nusu saa nikaenda kuchukua gari. Fundi wala hakustukia mchezo
Demu alinitafuta mara mbili tatu nikawa nampotezea mpk akakata tamaa. Tumeishia ku-like status insta tu. Ilikuwa bahati mbaya na sitarudia kula mke wa mtu tena maishani mwangu


