imebidi niishie katikat mbwembwe nying mm nataka nione kimasihara chap
 
Ila we jamaa hata kama n chai,unajua sana kupangilia stor zako,,hongera sana

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 

Tea masala
 
Da kwa hali hii mbinguni ni mbali Sana sio kwa uzinzi huo
 
na huwezi kua na masihara nyingi kiasi hiko.....kiuhalisi kila mwanaume ana masihara moja tuu ikizd mbili sasa mpemba mpaka hapa masihara 6......sad
sio kweli. mimi zinafika hata 10,sema sina muda wa kuleta zote. Nyingi wanawake ndo walijitengenezea mazingira ya kuniingiza kwenye 18. Mtu mwenye mvuto ni rahisi sana,kwa sababu mwanamke anakuwa anakutaka ila hawezi kukutongoza. So anakuweka mazingira ya faragha ukielewa unapiga.
Mwaka mmoja nilisafiri kikazi,dada mwenyeji anakawa anakuja kunichukua na gari yake ofisini kila siku saa 1 kunipeleka lodge. Niliogopa kumtongoza ili nisivunje heshima pale ofisini kwao. Siku moja akaniuliza kwenye sms mbona sionyeshi kama namvutia? Jioni yake nikamkaribisha room nikamla.
 
Leo nimezama kwa demu wangu mara paa jiran yake amekuja,hapa nipo nimejificha chumban nyuma ya mlango, halafu hana dalili za kutoka.
Daaahhh, umalaya huu bwana , acha tu hata kichwa cha chini kimeshalala.
Hawa single mother wanatutesa jamani.
Halafu germ la watani karibu linaanza
N.b
Huyu jiran ananijua A Z, tupo ofisi moja
 
kwahyo mkuu una mvuto??....mimi masihara nimepga moja tuu maishani
 
tuma sms amfukuze huyo jirani
 
Mtunzi Mzuri Wa "Short Stori

na huwezi kua na masihara nyingi kiasi hiko.....kiuhalisi kila mwanaume ana masihara moja tuu ikizd mbili sasa mpemba mpaka hapa masihara 6......sad
Nmeanza kutia 2001, hadi leo ni miaka mingapi?! Kwa kazi yangu kwa uchache naeza kaa sehemu mpya hadi 4 kila mwaka, na mwaka mzuri kila mwezi niko njiani. Na kila sehemu nliyoenda nliwahi kugusa.
NB: sijawahi kuogopa mwanamke, ikichomoka najua ni sawa, kukataliwa ni 40% ile 60% ndo tunasimulia.
Btw, mengine waeza ruka maana hayakai katika kichwa chako, huenda ni mzee sana kuyajua au mtoto sana kuyafikia
 
Ambao wanakaa sehemu moja kama sofa ya babu hawaezi kukuelewa.

Tembeeni, tokeni makwenu mjifunze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…